Rais wa Senegal (elect) kaingia na wake zake wawili kwenye sherehe ya kupongezwa ushindi

Hapa mtaani kuna mbaba miaka kama 60 anaingiza malaya kila siku ila ana familia mkuu unatska ni dhuhudie je mpaka niingie ndani, kwani guest ni duka kwamba kuna kazi nyingine zaidi.
nini maana ya Quest na tupe matumizi ya Guest
 
Hakuna malaya atafanya mageuzi ya kiuchumi iwe ngazi ya familia au Taifa

Kasome historia ya dunia watu walioishape dunia uone km waliwekeza kwa malaya

Wanawake wengi wanapunguza uwezo wa kufikiri

Uyo dogo bada ya miaka mitano atakuwa na wake zaidi ya sita

Muda wa kulitumikia Taifa utakuwa mdogo sana
jichunguze vzr , hawa wenye malaya au huyo anaeweka ndani kbs kuepusha masingle mama wamaozaa panya road
 
Mwinyi alishindwa?
Bill Clinton alikuwa anafanya ngono mpaka kwenye Oval Office!

Na alikuwa anachiti. Na kachiti si na mwanamke mmoja tu. Ni wanawake wengi.

Na anatuhuma za kubaka pia.

Je, alishindwa kuiongoza Marekani? Yeye ndo Rais wa mwisho kuwa na budget surplus!!!

Hakuna uhusiano wowote ule wa moja kwa moja kati ya tabia ya uasherati ya kiongozi au hali yake ya kindoa na uwezo wake wa kuongoza!

Nyerere alikuwa na mke mmoja. Wakati anatoka madarakani hata Colgate zilikuwa hakuna madukani!
 
Bill Clinton alikuwa anafanya ngono mpaka kwenye Oval Office!

Na alikuwa anachiti. Na kachiti si na mwanamke mmoja tu. Ni wanawake wengi.

Na anatuhuma za kubaka pia.

Je, alishindwa kuiongoza Marekani?

Hakuna uhusiano wowote ule wa moja kwa moja kati ya tabia ya uasherati ya kiongozi au hali yake ya kindoa na uwezo wake wa kuongoza!
Kuongoza ni kipaji, sidhani kama kinaweza kuathiriwa na factors kama hii ya kungonoka. Clinton aliweza, tumpe mda na huyu Msenegal.

Pia kwenye maisha ya kawaida mbona kuna wengi wana tabia mbovu lakini vipawa vyao vya akili bado viko imara.
 
Kuongoza ni kipaji, sidhani kama kinaweza kuathiriwa na factors kama hii ya kungonoka. Clinton aliweza, tumpe mda na huyu Msenegal.
Yes, absolutely!

Thomas Jefferson, mwandishi mkuu wa Declaration of Independence, Rais wa 3 wa Marekani, alikuwa na watoto kibao, wakiwemo aliozaa na Sally Hemmings. Huyu jamaa alikuwa mbakaji aliyekuwa anawabaka watumwa wake wa kike.

Declaration of Independence is perhaps the greatest piece of prose ever written.

Thomas Jefferson anakumbukwa na kuheshimiwa kama founding father wa Marekani.
Pia kwenye maisha ya kawaida mbona kuna wengi wana tabia mbovu lakini vipawa vyao vya akili bado viko imara.

Hakika. Na mifano ipo tele.

Jamaa apewe muda wa kufanya kazi.

Maisha yake binafsi kwa mintarafu ya hali yake ya kindoa, hayahusiki kabisa na kazi aliyopewa aifanye.

Hajavunja sheria yoyote ile.
 
Siku ya kuapishwa mama nilitegemea atamualika na mwenzie lakini ndio hivyo tena, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
 
Nilikuwa namsapoti kumbe mjinga tu. Mpaka hapo ameshafeli tayari.

Kama alishindwa kuchagua mke mmoja atayaweza madaraka ya Urais?
kwa hiyo unapingana na imani yenu ya kiislamu?

nani kakuambia kua na mke zaidi ya mmoja inaharibu ufanisi wake wa kazi?

refer michango ya Nyani Ngabu ujielimishe zaidi. sitaki kukuongezea dozi ya uelewa.
 
Nilikuwa namsapoti kumbe mjinga tu. Mpaka hapo ameshafeli tayari.

Kama alishindwa kuchagua mke mmoja atayaweza madaraka ya Urais?
Kafeli wapi tena ?.... Huenda Mila/dini imemruhusu kuoa wawili.
 
Back
Top Bottom