Tuelekeze vizuri deni lilikuwa ni pesa ngapi? Na deni la tangu lini.. na amelilipaje?
Tanzania haiwezi na haitoweza na kukaribia hata thumni kulipa deni letu la taifa , kutokana na aina ya viongozi tuliokuwa nao
Kiongozi anamiliki gari la million 200-500 na ni amepewa na serikali, hapo na unakuta kuna kijiji hakina zahanati inauogharimu milion 50 tu ambapo wajawazito na watoto , raia kiujumla wataweza kupata huduma ya Afya
Subirini kwanza.. kichwa kinauma