Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi, aleta neema Tanzania Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii, Kiwanda cha nyama Kujengwa

Mbona kimya kimya


Au kaja kupiga Biti maji ya Ziwa Victoria baada ya Waziri mkuu wa Ethiopia Kumtangulia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona tbc wako live, huyo abdel fatah sioni kama anaimpact kwenye matokeo chanya ya uchumi wa viwanda unaozungumziwaga tanganyika
Tutamuomba atujengee kiwanja cha mpira, na kukarabati madarasa mawili shule ya msingi mbuyuni
 
Tuitumie fursa hii kumtaka Rais wa Misr atupatie wataalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Misr.

Misr wana mto mmoja tu wa maana, Nile, na wana uhaba wa mvua na maji kulinganisha na hapa kwetu lakini wanalima kwa kumwagilia kutumia mto huo chakula cha kuwatosha wao wenyewe na kuuza nje.

Amazing.
 
Aliombwa na Rais Magufuli Misri kuja kuwekeza Tz viwanda vya kutengeneza dawa, kilimo matunda na viwanda vya bidhaa za kilimo mfano juice. Pia mashirikiano ya ulinzi. Majadiliano pia ya mto Nile na chanzo chake lake victoria.
 
What are those other; if I may know?

Well, things like Nile Basin agreement, improving cooperation, peace and prosperity of Africa, especially in countries like Libya, Somalia, Burundi, Chad, Mali and Mauritania. These are two extremely important countries in Africa (Tanzania and Egypt).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…