rugberna97
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 147
- 126
Rais ni mfariji mkuu ila huyu sijui ni nani!
Hili ni janga la uongoziBora hajaenda angeweza kuropoka kwani ajali imeleta Serikali. Na usishangae kesho akaropoka.
Kama Wabunge ambao ni waadhirika wamsiba wameshindwa kupewa nafasi hata ya pole,halafu kesho wanasema Tanzania yetu sote.
Hahaaaaaaa au yatakuwa yamepigwa marufukumbeba makopo marekan Leo ameikumbuka Tanzania. teh teh teh teh
Ukabila mbaya
Usijali ni ishara ya pumzi kukataWapi ulipo ukabila kwenye hilo bandiko langu?
Wapi ulipo ukabila kwenye hilo bandiko langu?
Usijali ni ishara ya pumzi kukata
Nani aliyekwambia umeandika Ukabila?
Lakini Magu hata kipindi akiwa Waziri nilikuwa simuoni kwenye matukio ya misiba bora hata Mkapa anajitahidi kutokea tokeaJPM shida yake hajui kabisa kuweigh out matukio..
Kwamba hili tukio kubwa na Taifa zima kwa hivi sasa lipo kwenye hili tukio so my presence is inevitable.. Hajui ku balance mambo...
Yeye kwa kutokwenda leo msibani anafikiria amejitofautisha na jk kumbe ni ujinga kwamba kwenye hili tukio alipaswa awepo.
Watanzania inatupasa kuwa makini sana kwenye chaguzi zetu.. Tunaweza kuja kuchagua mtu ambae anatakiwa awe wodini kule Psychiatric Department.
Alitoa pole au alienda kuwatukana? Mpaka Leo hii hawana hamu nae na sidhani kama atarudi kuwaona tenaWabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Peruzi huu uzi utauona tuSijasema kuna mtu kanambia nimeandika ukabila.
Wewe ndiye umeandika kuhusu ukabila.
K
Peruzi huu uzi utauona tu
Magufuli alishasema hataki habari mbaya. Ndiyo maana hata walivyouawa askari mkoawa Pwani hakwenda kutoa rambirambi.
Kamtuma Makamu wa Rais kaona inatosha.
Na mimi kwa kweli ningeona ana umuhimusana wa kwenda kama angekuwa ana uwezo wa kufufua wafu.
Kwa sasa cha muhimu zaidi ni kuangalia tunaepukana vipi na "ajali" hizi.
No research........no right to...Sina haja ya kuwapa orodha...
No research........no right to...
Hana chembe ya ubinadamu huyu..Rais ni mfariji mkuu ila huyu sijui ni nani!