Haiwezekani,nimeona unataka uwe na The Finest
mkwe nini kuachana solemba vibaya hivyo
Dah!!! Kesi itupilie mbali kabisa...tupa kulee.....Halafu yaani...yaani hata sielewi...hivi Preta mitaa ya kwako hajapita leo au ndio amekuwa mchoyo ghaflakhaaa.... mie nishakufungulia kesi subiri hati ya kuitwa mahakamani...yaani sielewi itakuwaje hata rushwa haipenye nakaba mpaka penalti hata umwite mfalme wa amani...mie sijambo kabisa mie zaidi unavyofikiri... yaaani siku yote ...yaani imekwisha khaaa
Dah!! Kumbe excellent hii ndio janja yako...Haiwezekani,nimeona unataka uwe na The Finest
Mkwe sasa kama mchumba sijui mmegombana mi ntakupatia wapi?
Dah!!! Kesi itupilie mbali kabisa...tupa kulee.....Halafu yaani...yaani hata sielewi...hivi Preta mitaa ya kwako hajapita leo au ndio amekuwa mchoyo ghafla
kuliko aje huko heri awe spika wa bunge
mkwe umesahau mahari ilikuwa dec nasubiri naona inayoyoma sijui ndio kutemwa mchan kweupe
Naona kama kawaida yako ya kujianzishia thread na kujijibu mwenyewe.
Mi nadhani kwenye kupokea wageni una uzoefu kaka....hahahahaaaaaayaani kuangalia kote umekosa nafasi yakunichomeka mimi swahiba wako nifikirie kumbuka tumesoma wote. Nitarudi baadae kidogo
hawatakimbia,labda mpaka ufanye makusudi