Shemeji we sema tu ila hiyo wizara ya madini ina hela na nimekupendelea,we unataka nimpeleka wizara gani huyo kiumbe
mtakoma rejao keshaapishwa
na mie ndo mwanamke wa kwanza
zile kope ulizoninyima!
Jiandae kuwa raia wa afganistan
hiyo nimempa RR
mbona afro yako haidondoki
ila usininunulie wigi la utajiju, silipendi
hahahaha! Rejao namtia kwapani tu anatulia, kazi kwako bidada.
Yani hata hiyo style siisomi, ila kama hutokua unajiangalia kwenye kioo poa tu.
Wizara Ya Mambo Ya Nje....hehehe hiki kitengo kitamu sana aiseee
ukiendelea kubisha utakuwa raia wa papua new guinea
Body guard atakushughulikia
sina wasi wasi
Mimi kitengo changu cha kupiga tripu za nje kwa sana tu kwahiyo huko kwenye umeme utawatesa akina Kongoshomwenzio nishati na madini, sahau kuhusu umeme.
Mimi kitengo changu cha kupiga tripu za nje kwa sana tu kwahiyo huko kwenye umeme utawatesa akina Kongosho
Yaani wewe....yaani...yaani...sijui kesi yako hakimu nimuweke nani..nilikuwa nafikiria PJ au PRETA ila hawa watakupendelea kwenye kutoa maamuzi...lol...mzima aisee nimekumiss kweli:eyebrows:heri yako utakuwa unaangalia live michezo huko hapa kasheshe tupu unaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu ngoja niwaachie Afro na Lizzy
heri yako utakuwa unaangalia live michezo huko hapa kasheshe tupu unaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu ngoja niwaachie Afro na Lizzy
Mimi kitengo changu cha kupiga tripu za nje kwa sana tu kwahiyo huko kwenye umeme utawatesa akina Kongosho
Usimsahau Kloroquin naomba mumpatie wizara ambayo ata deal na VICHAA
Yaani wewe....yaani...yaani...sijui kesi yako hakimu nimuweke nani..nilikuwa nafikiria PJ au PRETA ila hawa watakupendelea kwenye kutoa maamuzi...lol...mzima aisee nimekumiss kweli:eyebrows:
Mkwe pilau lilinoga?