Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi kufanya ziara nchini Tanzania kesho June 10, 2021

Afrika nzima akiri yetu ni moja!

Kwamba mzungu ndio atakaetuletea maendeleo. Hatuwazi kujitegemea ndio sababu unaona kuna wanasiasa lazima tu waende wakajipendekeze huko.

Wao walipoanza hawakuwa na pa kukopa waliumiza vichwa ni vipi wanatatua changamoto walizonazo. Sie hapa ukiwa na chamgamoto cha kwanza unawaza kwa mzungu.

Hatutatoka kwa namna hii.
 
Mbona hawaendi Dodoma
 
..na midege pia tunanunua kwa wazungu tena kwa fedha taslim.
 
..na midege pia tunanunua kwa wazungu tena kwa fedha taslim.
Ina nunuliwa ili kuleta ufanisi wa kibishara na hatimaye mjitegemee! Ila kwakuwa akili za ombaomba bado zimewajaa utakuta mijitu inakejeli inataka ijaziwe hela mifukoni
 
Ina nunuliwa ili kuleta ufanisi wa kibishara na hatimaye mjitegemee! Ila kwakuwa akili za ombaomba bado zimewajaa utakuta mijitu inakejeli inataka ijaziwe hela mifukoni

..kwenye ununuzi wa midege kuna 10% ya kujaza kwenye mifuko ya wakubwa.

..nyinyi mna akili za ajabu sana. wenzenu wananua midege wakati nchi zao zinajitegemea.

..Watz hata kusomesha watoto tunakopa kwa mabeberu, halafu tunakwenda kununua midege.
 
Ikulu ya Dodoma itasahaulika Soon... Vumbi la Dodoma halizoeleki labda ujengwe uzio wa kuzuia Vumbi au Iwekwe Iron Dome ya kuzuia Vumbi Dodoma
 
Kila jamii zina namna ya kutamka matamshi kutokana na lugha zao zilivyo.
Mfano, Spanish "J" inatamkwa kama "H"
Mfano:
Mojito ni mohito
Jose ni hose
 
Marais wanaume mbona wanazidi kuitembelea tz?
 
Toka 2015 hajawahi kukanyaga Rais toka Ulaya na Marekani why?
Ni ujinga wetu tu waafrika.

Botswana wamefanikiwa sana katika mambo ya ufugaji wa tija.

Tungekuwa na akili nzuri, nchi kama Tanzania ingetumia mwanya huo kutafuta njia za kujifunza toka huko ili nasi tufanye vizuri katika eneo hilo.

Lakini ziara za hawa wakubwa kwa kweli huwa sioni manufaa yake makubwa; kasoro labda ya mama kule Kenya alikokwenda kujisalimisha ili tuwe soko lao bila kikomo.
 
Rais wa Botswana aliyeshinda uchaguzi kutoka chama cha UPINZANI anakutana na rais aliyeachiwa urais na marehemu aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura.
Hapo Samia analo la kujifunza. DEMOKRASIA ni kitu muhimu sana.
 
..kwenye ununuzi wa midege kuna 10% ya kujaza kwenye mifuko ya wakubwa.

..nyinyi mna akili za ajabu sana. wenzenu wananua midege wakati nchi zao zinajitegemea.

..Watz hata kusomesha watoto tunakopa kwa mabeberu, halafu tunakwenda kununua midege.
Uliiona hiyo 10% wakiweka mfukoni?

Sasa kama wananunua sababu nchi zao zinajitegemea wewe utaanza kujitegemea lini?

Magufuli alinunua hizo ndege ili hela itakayopataikana ndio iende kusomesha watoto, sema kosa lake ni kwamba alikuwa anaongoza taifa la watu wapumbavu ambapo malipo yake ni matusi!

Ngoja sasa tuendelee kutrmbeza mibakuli huku tukijaziwa hela mifukoni
 
Masisi ametoka chama cha BDP, ambacho ndio kilikuwa ktk serikali iliyopita na hakutokea upinzani...
Rais wa Botswana aliyeshinda uchaguzi kutoka chama cha UPINZANI anakutana na rais aliyeachiwa urais na marehemu aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura.
Hapo Samia analo la kujifunza. DEMOKRASIA ni kitu muhimu sana.
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…