Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 561
Viongozi idara ya elimu Manispaa ya Morogoro, wamekuwa na mtindo mbaya wa upigaji pesa, mfano hii mitihani inayoendelea kuna mwalimu alipangiwa kusimamia kituo kikubwa cha mitihani akapigiwa simu aende kituo kidogo na yule aliyepangiwa kusimamia kituo kidogo anaambiwa aende kituo kikubwa ili atoe 20 percent.
Mwaka jana nilileta malalamiko hatukulipwa pesa ya kusahihisha mitihani ya mock hadi leo kimyaa, ukihoji vitisho vingi ooh tutakuhamishia vijijini,hii idara ya elimu manispaa ni onevu mnoo na ni wapigaji wa pesa.
Mheshimiwa Rais chonde chonde ukipita hapa Morogoro mjini nenda manispaa ya Morogoro kwani kuna uhujumu mwingi kwenye idara ya elimu.
Mheshimiwa Rais nia yako ni nzuri mnoo ya kufanya nchi yetu ipige hatua lakini unakwamishwa na hawa viongozi idara ya elimu manispaa.
Napenda kuwasilisha dukuduku langu,walimu tunaonewa sana,bila sisi hata wewe unayesoma hii comment usingejua kusoma lakini basi tuu.