Uache kujifungia ndani kama msukule.
Modern PresidentLicha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Comment of the year 2019Uache kujifungia ndani kama msukule.
Nyerere alikuwa anaendesha baiskeli!
Ili mkamilishe lengo lenu?ass.....mtasubiri sana fisi maji nyieUache kujifungia ndani kama msukule.
Nyerere alikuwa anaendesha baiskeli!
Hajatengeneza maadui na upinzani kwake ni sehemu ya siasa.Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Kila mtu anaishi maisha anayoyatakaUache kujifungia ndani kama msukule.
Dah anaishi huru sana.Hajatengeneza maadui na upinzazni kwake ni sehemu ya siasa.
Tenda wema uende zako ili ukaishi kwa amani.