Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Ahahahaaaa mtenda akitendewa huhisi kuonewa.
Mbona bongo amani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaa mtenda akitendewa huhisi kuonewa.
We una jema lipi mpaka mshutumu mwenzako kuwa sio mwemaTenda wema uende zako ili ukaishi kwa amani.
Kuna washamba ambao kila mtu kwao ni adui mpaka kufikiria mbinu za kuwaondoa duniani.Dah anaishi huru sana.
Self recognition mipango ya kufuta u masikini itachukua muda mrefu na haina self praise.Huyo mwenye ushungi utakuta ni TISS wa huko kwao.
BTW: kwa nini marais wa nchi zetu wanaona ni sifa kusaidia maskini barabarani kwa kuwapa vihela vichache badala ya kupambana kufuta umaskini?
Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Nampenda sana UK sijui kwa vile maisha yake yalianzia state house. Yaani anaonekana kutumikisha madaraka na siyo madaraka yanamtumikisha.Kuna washamba ambao kila mtu kwao ni adui mpaka kufikiria mbinu za kuwaondoa duniani.
Kuzaliwa unaona ng’ombe na kukua unachunga ng’ombe ni shida. Kutoa damu kwako si shida. UK amezaliwa kwenye bata, bila urais yeye ni tajiri.Nampenda sana UK sijui kwa vile maisha yake yalianzia state house. Yaani anaonekana kutumikisha madaraka na siyo madaraka yanamtumikisha.
Mbona unajihisi nani kamtuhumu nani.
Hata kama hatujui kiwango cha usalama wa eneo alilopo mara nyingi anaonekana kuwa social sana.Siku likitokea la kutokea pia mtakuja na story nyingine.
Pia, zote hizo ni games. Unajua apo alipo kuna magar mangapi ya usalama yanayomzunguka na huyajui? Ukitaka kujua wapo wangapi kapanukishe ndo utajua kama kajiachia au la
Ulitaka asilindwe.Siku likitokea la kutokea pia mtakuja na story nyingine.
Pia, zote hizo ni games. Unajua apo alipo kuna magar mangapi ya usalama yanayomzunguka na huyajui? Ukitaka kujua wapo wangapi kapanukishe ndo utajua kama kajiachia au la
Uhuru hana njaa.Nampenda sana UK sijui kwa vile maisha yake yalianzia state house. Yaani anaonekana kutumikisha madaraka na siyo madaraka yanamtumikisha.
Nafikiri hadith yake inafundisha kwamba Raisi wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta anajiamini sana, kujiamini kwake kunatokana na yeye kuamini kuwa amechaguliwa na Wakenya..
Mbona ili ni jambo la kawaida sana?
Hata Jakaya niliwahi kutana naye Ocean Road mwaka 2008 akiwa anaendesha mwenyewe, na hakuna mtu angemgundua maana gari lilikuwa na Plate number ya kawaida, alafu wakati anarudi kutoka anakotoka ndipo akasimama kumsalimia jamaa (Mr Salu wa IFM)
Kwa Uhuru Kenyatta yeye anaenda mpaka mazingira hatarishi zaid kuna sehem inaitwa Kayole kuna wahuni wengi anaenda mpaka huko, cha msingi uwa anabeba mpunga wa kutosha,
Hivyo hata Magufuli hamjakutana naye akiamua anatokea huko Nyuma anaenda zake,
Mbona kuna kipindi walinzi walimzuia kutokea geti la mbele, akawa mjanja akarudi nyuma kama anaokota okota uchafu mara huyo kaibukia kwa Wavuvi, akaanza kupiga nao story, baada ya Muda wale jamaa kugundua ndo wakaanza kufurika kuleta ulinzi,
Mara Nyingi huwa ni scenario za kutengeneza maana hawa marais huwa wana watu wao kwamba ntaenda sehem, we unaona hakuna ulinzi kumbe umeimarishwa sana, usije thubutu hata siku moja kukutana na president akiwa mwenyewe ukafurahi kwamba umepata nafasi ya kutimiza unalotaka , utakufa kabla ya siku zako
Britannica