Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Hivyo hata Magufuli hamjakutana naye akiamua anatokea huko Nyuma anaenda zake,

Mbona kuna kipindi walinzi walimzuia kutokea geti la mbele, akawa mjanja akarudi nyuma kama anaokota okota uchafu mara huyo kaibukia kwa Wavuvi, akaanza kupiga nao story, baada ya Muda wale jamaa kugundua ndo wakaanza kufurika kuleta ulinzi,

Britannica
britanicca hivi umetuona wote humu ni watoto wa la nne B.
 
Ninamheshimu sana President Kenyatta,ni mmoja wa Marais hapa Africa ambao wanajua kuwa siasa za kutofautina kiitikadi sio vita ya kuuana,anaelewa kuwa kuna maisha baada ya siasa,kwetu tumefikia hatua ya kuanza hata kutozikana kisa tofauti za kiitikadi wakati nchi hii ni ya watanzania wote,kitendo cha President Kenyatta kutofanya chochote wakati mpinzani wake alipokwenda kujiapisha kama Rais wa Kenya kiliniacha na imani kubwa kuwa next generations ya Wakenya wataishi maisha ya kupendana na kuvumiliana kisiasa,kwetu tutasubiri sana na tuendelee kuandamana kwenye key boards zetu.
 
Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.

Ni kujiamini au nini?

Kwa nini wamuue UK wakati yeye ndiye anatoa pesa za kuwawezesha hao Al Shabab

Huo ni mchezo wa western power ambao UK ameuridhia. akishirikuana na vigogo wa Al Shabab
 
Acha kutudanganya hapa siku ile anaenda kuongea na wale jamaa pale sokoni unataka tuamini kuwa alitoroka? Je walinzi wake walikuwa wapi? Hata Hapo Uhuru Kenyata au JK kama anaendesha mwenyewe lazima kuna magari hata 2 ya walinzi wanakuwepo ila nawao wanakuwa wanafuata foleni nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa? Nimesema walinzi wanakuwapo
 
Mnadanganya wee unadhani Rais anaishi kwa utashi wake, iyo picha tuu. Uhalisia Hapo kazungukwa na ulinzi hata iyo gari ukiangalia kwa haraka ni bullet proof
 
Kwa nini wamuue UK wakati yeye ndiye anatoa pesa za kuwawezesha hao Al Shabab

Huo ni mchezo wa western power ambao UK ameuridhia. akishirikuana na vigogo wa Al Shabab
Ukiitwa kutoa ushahidi utakwenda? Madaraka yasiwafanye kudhani mnaweza kuropoka chochote juu ya kiongozi yeyote. Ujue UK siyo Mbowe.
 
Back
Top Bottom