Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Mbona ili ni jambo la kawaida sana?

Hata Jakaya niliwahi kutana naye Ocean Road mwaka 2008 akiwa anaendesha mwenyewe, na hakuna mtu angemgundua maana gari lilikuwa na Plate number ya kawaida, alafu wakati anarudi kutoka anakotoka ndipo akasimama kumsalimia jamaa (Mr Salu wa IFM)

Kwa Uhuru Kenyatta yeye anaenda mpaka mazingira hatarishi zaid kuna sehem inaitwa Kayole kuna wahuni wengi anaenda mpaka huko, cha msingi uwa anabeba mpunga wa kutosha,

Hivyo hata Magufuli hamjakutana naye akiamua anatokea huko Nyuma anaenda zake,

Mbona kuna kipindi walinzi walimzuia kutokea geti la mbele, akawa mjanja akarudi nyuma kama anaokota okota uchafu mara huyo kaibukia kwa Wavuvi, akaanza kupiga nao story, baada ya Muda wale jamaa kugundua ndo wakaanza kufurika kuleta ulinzi,

Mara Nyingi huwa ni scenario za kutengeneza maana hawa marais huwa wana watu wao kwamba ntaenda sehem, we unaona hakuna ulinzi kumbe umeimarishwa sana, usije thubutu hata siku moja kukutana na president akiwa mwenyewe ukafurahi kwamba umepata nafasi ya kutimiza unalotaka , utakufa kabla ya siku zako

Britannica
Ndio wanavyojidanganya eti hapo hakuna ulinzi 😂😂😂
Si ajabu Lane nzima hiyo yakawa ni magari ya secret service tu,akitaka kuprove asogelee hilo gari kwa nia ovu ndio Atajua hapo yupo peke yake au sio.
 
Ndio wanavyojidanganya eti hapo hakuna ulinzi 😂😂😂
Si ajabu Lane nzima hiyo yakawa ni magari ya secret service tu,akitaka kuprove asogelee hilo gari kwa nia ovu ndio Atajua hapo yupo peke yake au sio.
Hahahaha
 
Kelele mingii hakuna kitu kina badilika. Nendeni mkashtaki mahakama ya hard talk, voa au BBC. Nyum.bu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu mkubwa wewe, Kenge wa kapuya,huna hata aibu, chama Kuanzia Shina hadi mizizi ni ma zero brain wote, jitu limejificha Kama nyoka shimoni uchumi unakufa ,mbuzi Kama wewe Unayejua kula na kwenda chooni unashangilia.
Eti tupo kwenye vita vya uchumi, mnapigana na nani hiyo vita ? na Lissu?
Na ngoja, muda si mrefu mtakosa hata hiyo buku 7,sijui mtaishije na humu mtatoweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom