Rais tunahitaji hotuba ya mwezi November

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Ni kawaida kwa rais wetu kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi. kwa kawaida hotuba hii hutolewa kati ya tarehe 30 mpaka 3 ya mwezi unaofuatiwa.

Mpaka leo tarehe 5/12/2014 mh Rais haujahutubia taifa huku wananchi tukiwa katika njia panda katika mambo lukuki.

Hotuba ya mwezi huu vipi ndugu Profesa dr Kikwete. Kwa maneno yako ulisema DR amekuzuia kufanya kazi ngumu, je na hii ya kuhutubia taifa nimojawapo??
 
Mbona alishahutubia, ile aliyoitoa pale JNIA siku aliporudi toka US ndo hotuba yenyewe ya mwezi ile.

ile ni press conference mkuu na haikuwa official monthly presidential speech
 
kwani unadhani kuna kitu gani ambacho lazima Rais akizungumzie?
 
mwacheni apumzike kwa muda wa wiki nne alizoambiwa na Madaktari
 
Halafu najiuliza nini haswa kazi ya Kaimu/Makamu Rais.
Ni klichekesho hata Che Nkapa aliwahi kuhutubia akiwa nje as if hakukaimisha ofisi alipoondoka. Only in Tanzania.
 
"Inashangaza hadi leo kiongozi wa nchi kukaa kimya na kuwafanya watanzania kuwa hawaelewi kitu huku fedha zao zikiliwa wazi wazi, tulitegemea yeye angeweza kutoa tamko lolote na hata kukanusha kama hajahusika, lakini amekaa kimya, hii inadhihirisha wazi kuwa amehusika na yeye katika sakata hilo," alisema Lipumba.

Tanzania Daima – Lipumba amgusa JK IPTL

Ni kawaida kwa rais wetu kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi. kwa kawaida hotuba hii hutolewa kati ya tarehe 30 mpaka 3 ya mwezi unaofuatiwa.

Mpaka leo tarehe 5/12/2014 mh Rais haujahutubia taifa huku wananchi tukiwa katika njia panda katika mambo lukuki.

Hotuba ya mwezi huu vipi ndugu Profesa dr Kikwete. Kwa maneno yako ulisema DR amekuzuia kufanya kazi ngumu, je na hii ya kuhutubia taifa nimojawapo??
 
Siku alipokutana na waandishi wa habari na akatumia lisaa limoja na nusu kuelezea ugonjwa wake hiyo ndio ilikua Hotuba ya mwezi November ulikuwa wapi Mangi?
 
Nyie wachaga wengine wakuchomwa moto majizi mpaka basi unakaa rombo mashati halafu uwe na akili,siyo rahisi.

Ungekua na akili usingekua unalala na mifugo wewe. Majizi hujayaona kama bosi wako chenge muhongo maswi tibaijuka ngeleja werema kwanini tusianze kuwachoma moto hao kwanza?
 
ana msongo wa mawazo kwa alichofanyiwa na daktari,PR EXAM' si mchezo
 
Back
Top Bottom