Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 386
- 517
Hahhhahhaha...ww hata katika uhandisi kuna maeneo korofi, kipolisi hill ni eneo korofiNjoo Tabata tunakunywa saa 24
Na hili katazo limewaadhiri sana breweries, kumbuka Dar ni soko kubwa sana more than 50%Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.
Huyu alifaa ashtakiwe kwa uhujumu uchumi.Hajui kama breweries ndio top tax payersNa hili katazo limewaadhiri sana breweries, kumbuka Dar ni soko kubwa sana more than 50%
Kalewa sifa DBANi mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.
Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.
Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
Sasa kwann tuishi km wakimbizi? Hili swala linanikera sana, polisi badala wahangaike na mambo ya msingiMkuu bar siku hizi wamebuni zile grass hazioneshi so wanakumiminia humo unaendelea kulipa kodi kama kawaida unajifanya unakunywa juisi nimeona bar nyingi sana
HAPO KWENYE HOTEL ZA KITALII NAFIKIRI HATA KODI YAO NI KUBWA ZAIDI TOFAUTI NA HIZO BAR ZA KAWAIDA.Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.
Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.
Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
Hahhhahhaha...ww hata katika uhandisi kuna maeneo korofi, kipolisi hill ni eneo korofi
Wao wanaamini kazi ni lazima uwepo physically
Dar kila mtu pia ana muda wake wa kufanya kazi/biashara na kula bata. Why saa kumi wakati kodi wanazitaka???Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.