Ana mshukuru mungu aliyempa ugonjwa ,na waliomponya ni madaktari, acheni utani mazee
Huyo mungu wako anaegawa magonjwa mimi simjui. Mungu wangu ni mwema sana.Ana mshukuru mungu aliyempa ugonjwa ,na waliomponya ni madaktari, acheni utani mazee
Ameenda kimya kimya.Kizimkazi.
Watakua wazushi tuNimeona huku X kuna bango linasoma: MISSING PRESIDENT OF TANZANIA. Ngoja ninyamaze mie nisiseme sana.
Ni ukweli tu, hakuna kukazana wala kulegezana, huo ndio ukweli na ni kwa kuwa mna roho mbaya sanaMkuu umekazana sana na udini hivi hujiskii kukosa amani kwa maneno yako?.Au kuna wakristo waliowahi kukuumiza sana ktk maisha yako kwa kigezo cha imani yao!?
Ulitakaje?Ameenda kimya kimya.
Ndege ya Rais İtue Kizimkazi kimya kimya kwasababu gani?Ulitakaje?
Muulize mumewe au yule jamaa anayezunguka naye kila mahali.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Uchaguzi au mchakato wa uteuzi.Kama Mtendaji Mkuu wa Serikali anasimamia Uchaguzi wa mitaa na vitongoji
wewe upo wapiBila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji