Rais yupo salama, ali tweet na kutoa pole msiba wa Mafuru. Wakati mwingine Rais anahitaji kupumzika na familia.Kuna kitu sijaelewa
--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi
--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?
-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali
-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA
Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi
Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi
Samia YUKO wapi, hii ndioView attachment 3148632 hoja ijibiwe
We ni mkiristo?Acha uongo wakristo wepi?
SafiNi mzima afya anachapa kazi.
Yale yale ya magufulBila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Ilitokea kwanza Makamu wa Rais, hakuonekana kwa muda hadharani mengi yakazungumzwa, akatokea hadharani yu buheri wa afya, uvumi, tetesi, na minong'ono yote ikatulia.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Wewe umejuaje dini au dhehebu la kila mwana JF. Yule sheikh aliyesema Kiongozi wa nchi hafai kuwa mwanamke ulimuona ? Alikuwa mkristo au muislam mwenzako ? Hayo hayo maneno ya sheikh yangetamkwa na mkristo ungetukana matusi mazito. Usikimbilie udini. Wewe ndiye mdini mkubwa. Ni kosa kumzushia Rais wa nchi kifo, bila kujali imani, wala itikadi za vyama.Yaani wakristo wanafurahia uzushi kweli, hata sijui kwanini,
Hivi kwanini wakristo mnafurahia huu uzushi? Au kwa kuwa SAMIA ni muislamu?
Kama ni kosa sasa kwanini mnamzushia,Wewe umejuaje dini au dhehebu la kila mwana JF. Yule sheikh aliyesema Kiongozi wa nchi hafai kuwa mwanamke ulimuona ? Alikuwa mkristo au muislam mwenzako ? Hayo hayo maneno ya sheikh yangetamkwa na mkristo ungetukana matusi mazito. Usikimbilie udini. Wewe ndiye mdini mkubwa. Ni kosa kumzushia Rais wa nchi kifo, bila kujali imani, wala itikadi za vyama.
Yaanin tuseme wewe hujui madhehebu na dini za wana jf humu?Wewe umejuaje dini au dhehebu la kila mwana JF. Yule sheikh aliyesema Kiongozi wa nchi hafai kuwa mwanamke ulimuona ? Alikuwa mkristo au muislam mwenzako ? Hayo hayo maneno ya sheikh yangetamkwa na mkristo ungetukana matusi mazito. Usikimbilie udini. Wewe ndiye mdini mkubwa. Ni kosa kumzushia Rais wa nchi kifo, bila kujali imani, wala itikadi za vyama.
Yupo salama kabisa anaendelea vizuri kabisa na majukumuBila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Sikujiunga jf kwa kigezo cha dini. Hainihusu hiyo inakuhusu mwenyewe. Acha udini. Rais ni wa Watanzania wote, wapagani, wabudha, wahindu, WAKRISTO waislam nkYaanin tuseme wewe hujui madhehebu na dini za wana jf humu?
Mbona zipo wazi tu
Umejuaje kama mimi ni muislam
Sisi ni matajiri! Huu ni uchochezi sasa! πLabda alipotoka Cuba ameenda marekani kusubiria uapisho wa Donald Trump ili kuepuka gharama za usafiri
Aende zake tu.Kama ni kosa sasa kwanini mnamzushia,
Wacha kumzushia yaani mnatamani kabisa asiwepo
Why?
Mama Mitano tena, na TUNATOA FOMU MOJA TU...π€£π€£π€£πππππ
Aende wapi?Aende zake tu.
Hata makamu wa raisi alizushiwa.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji