Mkuu 'Bush', ngoja nikupe kitu cha kukufikirisha kidogoi, halafu utaamua mwenyewe utakacho kuwa umejifunza kutokana na hali ilivyo.
Tunao "machawa" wengi humu JF kama huyo Mwashambwa aliye poteza fahamu kabisa kwa uchawa wake.
Sasa nakuomba ufuatilie wanayo andika humu, kwenye mada hii au ile nyingine iliyo pandishwa jana na yule kichaa mwingine ajulikanae kama 'Tumainiel' kuhusu kupotea kwa mlisha uchafu wao .'FaizaFx' anachoweza kuchangia ni vimaneno viwili, vitatu, hapa na pale! Hali hii mimi inanipa faraja, kujuwa kuwa hawa ni madebe matupu.
Ngoja nijibu kiungwana, rest if possible but don't quit a job, yaani pumzika inapobidi lakini usikimbie kazi. Rais huenda yuko mapumzikoni kama wafanyakazi wengine wanapopumzika inapobidi ili ku refresh mind. Hakuna cha ajabu mfanyakazi kupata mapumziko as long as human being