Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Jamani acheni hizo basi. Huu uchuro sio. Litaitwa Taifa la kuombea mabaya Viongozi wao. Hata miaka minne haijafika mnaulizia mwingine tena.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu GabejMM
Anachapa kazi rejea kauli ya Mh wa Ruangwa.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
Tulikuwa naye arusha jumatatu.Sijamwona muda mrefu KASIMU MAJALIWA
Itakuwa ni kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwanza kwa ajili ya uponyajiMkuu, Hivi ni Kwa nn,aliibukia kanisani na sio eneo lake la kazi
Mbona mi najua mashekh ndio hawataki hata kumsikia!Yaani wakristo wanafurahia uzushi kweli, hata sijui kwanini,
Hivi kwanini wakristo mnafurahia huu uzushi? Au kwa kuwa SAMIA ni muislamu?
Mashekh ndio wakina naniMbona mi najua mashekh ndio hawataki hata kumsikia!
Kwani wale viongozi wa waislamu wanaitwaje?๐ Ndio namaanisha hao.Mashekh ndio wakina nani
Sijui wanaitwaejeKwani wale viongozi wa waislamu wanaitwaje?๐ Ndio namaanisha hao.
Mara ya kwanza alipo potea hivyo, aliibukia kwenye jengo refu duniani. Na unajuwa kilicho fuata baada ya hapo. Bandari za Tanganyika zilinadiwa bila sisi kujuwa!Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
AMEN.Mungu amulinde raisi samia
Sijaona hayo Matusi ya Wahuni ๐ผKuna kitu sijaelewa
--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi
--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?
-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali
-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA
Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi
Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi
Samia YUKO wapi, hii ndioView attachment 3148632 hoja ijibiwe
AAAaaah!Zile habari za kusema makamu wa rais Mpango yuko wapi ziliishia wapi
Anyway, hv msibani napo hua kuna posho?