Rais Samia yuko angani 24/7

Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?

Mwezi mzima huu hajatulia kbsa

Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaa siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India

Kisha akarejea Dsm hajakaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaa siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake

Baada ya hapo aliunga safari kuelekea Tabora kuanzia igunga ,nzega had Tabora mjini sikumbuki alikaa huko muda gani

Hajatulia akafika Dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akaitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaa karibu kabisa na zito pamoja na farther Charles kitima .


Hajakaa sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr

Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaa pipa Tena juu kwa juu kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kuudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae

Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi


Sasa najiuuliza mimi Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo

Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000

Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli ?. kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni .

Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindikana huko kwingine

Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa Igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na Rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas


Kwa Sasa safarini kuelekea

Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
Jinyonge
 
Basi na wew unaejuwa kuandika vzr andika Uzi wako Kaka
Shida iko wapi kaka
Uzi unakuwa wako, lakini unachangiwa na wengine..!! Sasa unapoandika, weka maneno kwa mpangilio sahihi ili wanaokomenti kwenye uzi huo wakomenti huku wakiwa wameelewa ulichodhamilia..!!
 
Uzi unakuwa wako, lakini unachangiwa na wengine..!! Sasa unapoandika, weka maneno kwa mpangilio sahihi ili wanaokomenti kwenye uzi huo wakomenti huku wakiwa wameelewa ulichodhamilia..!!
Sawa bos nimekusoma mkubwa wangu

Nioneshe sehemu za kurekebisha mkuu plz if don't mind
 
Halafu ni Dr eti dr namugari
Umakini wa kuandika tu ni haupo

Kama ni dr kweli basi ndio maana watu wanafanyiwa OP ya kichwa badala ya mguu
Sasa mm kero inatoka wapi kwako mban hata wew unaweza kujiandikia tu ili Hali siyo Dr walio niita Dr wanajuwa nafanya ni ktk nchi hi wala mm siyo Dr wa chochote kitu

Mm nimepewa udr na Wana kutoka na umahiri fln nilio nao wakt wengi hawama huo umahiri

Umahiri huo ni Siri yangu .

Sawa dada joanah acha kuumia kwa vitu vidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom