Rais Samia yuko angani 24/7

Huyo ndio mpambanaji sasa mwenye pumzi na weledi, mtu anayependa kukaa sehemu moja ni mvivu hafai,

JK aliwahi kusema "kheri jibwa linalotembea tembea linaweza hata kuokota fupa, kuliko...."
Wakati linazurura kutafuta makombo, wezi wanavamia kwa anayelifuga, anaiba ama na kujeruhi. Hilo jibwa linapta fida gni zaidi ya shibe ya ubinafsi?
 
Jpm alipokuwa hasafiri tulilalamika
Mama anasafiri tunalalamika
Ehh ,kweli wabongo mpaka sasa hatujui tunataka nini

Ova
 
Jpm alipokuwa hasafiri tulilalamika
Mama anasafiri tunalalamika
Ehh ,kweli wabongo mpaka sasa hatujui tunataka nini

Ova
Mm bwan mrangi sijawai kulalamika kwanin jpm hasafiri
Nampenda jpm mno mno

Yule Ni jemedari
 
Watakuja hapa akina wenzangu na mie watakwambia, Si anatumia ndege zetu wenyewe?

Anyway, ngoja watafutwe wawekezaji ili bei ya mafuta na bidhaa zingine izidi kupanda.
 
Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?

Mwezi mzima huu hajatulia kbsa

Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaa siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India

Kisha akarejea Dsm hajakaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaa siku nne mfulilizo akifanya ziara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake

Baada ya hapo aliunga safari kuelekea Tabora kuanzia igunga ,nzega had Tabora mjini sikumbuki alikaa huko muda gani

Hajatulia akafika Dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akaitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaa karibu kabisa na zito pamoja na farther Charles kitima .


Hajakaa sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr

Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaa pipa Tena juu kwa juu kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kuudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae

Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi


Sasa najiuuliza mimi Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo

Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000

Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli ?. kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni .

Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindikana huko kwingine

Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa Igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na Rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas


Kwa Sasa safarini kuelekea

Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
Kama fail gani? Ingekuwa uwepo wake angani unaleta hasara sawa ila kama unaleta Tija aongeze Kasi ya kuwepo angani.

Pili Rais sio mtu ni taasisi Sasa wewe kipi umeona kimesimama kisa Rais anafanya ziara za ndani na Nje?

Mwisho unaposena hazina Tija una kipimo?
 
Majizi, majambazi, wapiga diri wanamkeep busy waweze kukwiba! Nchi hii ngumu!
Karibu na wewe ku kwiba uone.Harafu usiwe mjinga bila Rais kuweka mambo sawa ya kimahusiano hizo biashara zenu mtafabyaje ikiwa saizi tuu mnalia Lia mahindi hayana soko?
 
Kama fail gani? Ingekuwa uwepo wake angani unaleta hasara sawa ila kama unaleta Tija aongeze Kasi ya kuwepo angani.

Pili Rais sio mtu ni taasisi Sasa wewe kipi umeona kimesimama kisa Rais anafanya ziara za ndani na Nje?

Mwisho unaposena hazina Tija una kipimo?
Kama faili gani Tena ??????kwa hyo unadhni hyo ndege inayo ruka kutwa nzima inatumia maji
 
RAIS NI TAASISI SIYO LAZIMA ASAINI YEYE NDIYO MAANA KUN A MAKAMU W/MKUU NA KATIBU MKUU KIONGOZI
Ila kuzungukazunguka ni lazima azunguke yeye?
Anyway,mama ana mapungufu,ila anajitahidi sana kupiga kazi.Hawezi kuridhisha wote.
 
Kama fail gani? Ingekuwa uwepo wake angani unaleta hasara sawa ila kama unaleta Tija aongeze Kasi ya kuwepo angani.

Pili Rais sio mtu ni taasisi Sasa wewe kipi umeona kimesimama kisa Rais anafanya ziara za ndani na Nje?

Mwisho unaposena hazina Tija una kipimo?
Kipi wew up meona kimeleta tija so far kwa ziara zake hzo lukuki
 
Back
Top Bottom