Rais Samia visikie vilio vya watu wako

Rais Samia visikie vilio vya watu wako

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Kwamba Urais ni taasisi?

Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali.

Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana mwisho wa siku lawama ni kwako.

Sauti hizi zinahusu haki, amani na maridhiano toka kwa wahanga wenyewe si kutoka kwa madalali. Zinabeba ufumbuzi wa manung'uniko yaliyopo.

Zisikie sauti hizi:



IMG_20220407_084616_945.jpg


Kuoga huanza na maji kuyavulia nguo.
 
Namshukuru Rais wetu Samia kwa kuniwezesha mimi kuandika hii comment.

Hii awamu hii
 
Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani?

Nyie si mlikuwa upande wa mabeberu na mafisadi?
 
Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.
 
Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani?

Tukisema wananchi tunaongelea mtu mmoja mmoja katika nchi husika.

Kujua wananchi wanasema je ni kwa kura ya maoni na si vinginevyo.
 
Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.

Watanzania wengi tuko upande wa haki, amani na maridhiano kuhusisha wahanga siyo madalali.
 
Back
Top Bottom