Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,818
Reaction score
62,031
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
 
Kama kumnyonga ndio option pekee ya kumfanya asalie madarakani kwa nini asimnyonge?. Kwako Mwalimu kashasha😄
 
Hawezi kufanya hivyo
 
Nimeipenda hiyo ndugu rais.
 
Kwa hiyo mnataka rais aingilie uhuru wa mahakama?
 
Na sisi Watanganyika wajinga sana kutawaliwa na Mzanzibar tunachekelea.
Kama mazezeta flani vile. Nimeona kuna dhifa nyngne wawaklishi wanahudhuria 2, mmoja toka Zenji na mngne toka Jamhuri ya Muungano ya Tz. Hakuna Tanganyika lkn kna ZNZ
 
Ndugu Rais.

Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie.

Na makada wa CHADEMA wanawaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa serikali yako inataka kumnyonga Lissu.

Kesi hii ndugu Rais, inawafanya watu wakuone kama huna moyo hivi. Tafadhali kabla ya haiba yako haijachafuka na watu kukuona mtawala katili, tafadhali ondoa hii kesi mahakamani.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.

Ndugu Rais, Serikali yako inaongoza kwa kuwaweka wapinzani wa utawala wako jela. Ushanuweka Mbowe ndani kwa kesi ya Ugaidi, Ushamfungulia Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude kesi ya Uhaini, na sasa Lissu serikali yako imemfungulia kesi ya uhaini. Wananchi wanasema unatumia mahakama kisiasa kupitiliza. Wanakuona kuwa huwezi kujibu hoja za wapinzani kwa hiyo badala yake unatumia msuli wa dola!.

Ndugu Rais ni kweli unaweza kumuweka Lissu jela na hata kumnyonga, lakini kiukweli hii dhana ya kumnyonga Lissu inaibua hisia nzito mno kwa wananchi huku mtaani na watu wanakuangalia vibaya sana.

Ujumbe nimekufikishia, utaamua mwenyewe serikali ifanye nini, Wananchi hawaamini kuwa mahakama inaweza kuwa huru kutenda haki kulingana na historia ya kesi hasa za hivi karibuni, kwa hiyo wananchi wanasema kuwa hii ngoma ni yako na si mahakama.

Kumnyonga Lissu kwa maoni yangu is not a good idea!.
Kwanini unapoteza muda wako kuomba favor isiyohitajika? Kesi yenyewe ya kumkuta Lissu na hatia iko wapi? Hata kama itapangiwa judge kada wa CCM, Court of Appeal of Tanzania itatengua hukumu ya kijinga itakayotolewa na huyo judge!
 
Ndugu Rais.
Tunapoelekea utaanza kuchukiwa na umma kama kipindi kile ulivyoendelea kumshikilia Mbowe gerezani, Kesi ile ilikuwa imekutoa ktk mioyo ya Watanzania sana na laiti ungeng'ang'ania kumshika Mbowe kwa muda mrefu zaidi, umma ungekuona kwa jicho negative sana. Sasa situation kama hiyo ninaiona sasa ambapo umma umeanza kukuangalia kwa jicho baya.
Naunga mkono hoja, japo Hatutafika huko mbele kwenye hatua ya kunyongana!. Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?

P
 
Back
Top Bottom