Ila na sisi watanzania tumezidi ukondoo. Hii nisingekubali kwa hali yoyote na pengine ndiyo ingekuwa mwisho wangu na yeye. Ujinga gani! Hapa Samia pamoja na ubaya wake lakini hahusiki kwa vyovyote.Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Asante sana. Mwenye matatizo ni aliyekubali kucharazwa viboko.What the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mwenye matatizo ni huyo mtu mzima anayepigwa viboko bora unifunge au unipige risasi nife
Wakuchukua hatua hawezi kuwa huyo uliye mtaja , hanaga muda na hayo mambo huyoSidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Kumbuka huyo ni mwenyekit wa ulinzi na usalama ukibishana naye hapo basi umeitafuta shari na jeshi la polisi katika eneo lake nanwaweza kupotea kabisaAsante sana. Mwenye matatizo ni aliyekubali kucharazwa viboko.
amtengue basi kama haafiki ushenzi huuIla na sisi watanzania tumezidi ukondoo. Hii nisingekubali kwa hali yoyote na pengine ndiyo ingekuwa mwisho wangu na yeye. Ujinga gani! Hapa Samia pamoja na ubaya wake lakini hahusiki kwa vyovyote.
Huyu kenan kihogosi huwa namuona kama hazimtoshi kabisa kabisa ,tangu akiwa UVCCM sielewagi Serikali inamuona ana kipi cha kuoSidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Mahakama hizi hizi zinazonpokea oda? Au mahakama zipi ndugu yanguMkuu, hii ni ya zamani sana. Wakati huo Kihongosi alikuwa DC Arusha. Kwasasa amekuwa RC hukohuko.
Kimsingi, kitendo kilichofanyika kilikuwa ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni. Sijui kwanini waathiriwa hawakumburuza mahakamani.
Bora kufa kuliko kufanyiwa huo upambavu, kwani mahakama zipo kwa ajili Gani!Kumbuka huyo ni mwenyekit wa ulinzi na usalama ukibishana naye hapo basi umeitafuta shari na jeshi la polisi katika eneo lake nanwaweza kupotea kabisa
asante kwa kuweka rekodi sawa. Nmeikuta tweeterMkuu, hii ni ya zamani sana. Wakati huo Kihongosi alikuwa DC Arusha. Kwasasa amekuwa RC hukohuko.
Kimsingi, kitendo kilichofanyika kilikuwa ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni. Sijui kwanini waathiriwa hawakumburuza mahakamani.
Nini kinaendelea hapo!Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
Hizi hizi mahakama za kuficha mashaihidi au mahakama gani ndugu yanguBora kufa kuliko kufanyiwa huo upambavu, kwani mahakama zipo kwa ajili Gani!
viboko kwa kutokamisha miradi ya serikali, but Mselelwa anasema ni ya zamani akiwa DC arusha and now he is the RCNini kinaendelea hapo!
Kwa hiyo wewe ungekubali tu ule fimbo?Hizi hizi mahakama za kuficha mashaihidi au mahakama gani ndugu yangu