Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Mbona hizi taarifa anakili mwenyewe kwenye maandishi yake!! Wala huhitaji kuwa mahabusu kujua walimfanya nini
Dogo, Kama unataka kufanya siasa achana na person issues za wapinzani wako na Kama unasaka uteuzi jifunze kujenga hoja nzito ili usionekane kuwa na midomo miwili aliyosema boss wako!
 
Kama wataunda chama kipya ni bora kuliko kugawa bure raslimali za nchi zenye thamani ya mabilioni ya dola
 
Ikiwa upinzani umeyumba bila shaka hata CCM imeyumba, kumbuka vinara wa kutoa matusi majukwaani ni CCM, sijui kama unalijua hilo.

Ni vyema kabla hujawahukumu wapinzani kikosoe kwanza chama tawala
Naelewa CCM huko nyuma walikuwa na matusi sana lakini Mama ameshika madaraka na hajawahi kutukana upinzani majukwaani na alileta muafaka ambao Mbowe na vyama vyengine ndio waasisi wake matusi hakuna ni kujenga hoja tu juu ya majukwaa lakini mtu kama Tundu Lissu anaporomosha matusi na ubaguzi wa kidini kumdhalilima mama kwa sababu dini na kuwadhalilisha wazanzibari ambako huko nyuma alishakana na Maalim Seif kuwatetea wazanzibari leo anawadhalilisha kwa sababu ya dini
 
Chandema badilikeni endesheni siasa za kistarabu au basi muwe na fronts tofauti tofauti kulingana na hadhi ya kiongozi haiwezekani mwenyekiti na makamu wake woongoze front ya matusi/distraction.
Aione Tulia Ackson na Nape Nnaunye pia.
 
Yaani na wewe kabisa ni mwananchi unayewqkilishwa na Mdude? Muangalie anavyoropoka na asivyo na maadili halafu jiangalie na mwenyewe. Kama kweli uko na taswira ya Mdude basi wewe ni hayawani
Umekubali kuongozwa na msomi wa Records Management and Libraly.
 
Kizimkazi Modern Taarab
Mipasho ndani ya hotuba [emoji23]
Ni mambo ya siasa tu, atuambie yeye, je, ndani ya CCM hakuna migogoro? Rais na waziri mkuu je? Bunge mgogoro, baraza lake la mawaziri lina migogoro, bandari, Loliondo mgogoro. Kwa kipindi hiki uko CCM kuna vikumbo nani atakuwa mgombea Urais 2025. Migogoro ipo sehemu nyingi kuanzia kwenye ndoa zetu, familia zetu nk. Basi mwenye kumnyooshea mwingine kidole ajitizame yeye kwanza.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwahutubia watu ambao wanajua kabisa wewe ni empty set na wewe unajua kua wanajua wewe ni mtupu kichwani
 
Kwani kuunda chama kipya ni kosaaa
 
...wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu. Sawa Mama mwanao nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…