Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania bado ipo pending pia, tutasubiri sanaAmkeni ninyi hakuna elimu ya bure,
Nacho jua me elimu ni gharama,
Siku zote ninacho amini cha bure hakina maana,
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tuna wasomi wajinga sana.
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ."Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Mvuta bangi at least anajielewa.Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Mawazo ya kipumbavu"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Kikao cha masimango"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Ni mipasho pia
Amekosa hoja ya kuwajibu wapinzaniMawazo ya kipumbavu
Masikini mama hadi anatia huruma kweli chadema imeiva haswa tayari kuongoza nchi"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Kachanganyikiwa mno.Sasa ni dhahiri amechanganyikiwa
Akili ndogo zisizotambua utokako na uendako.Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Bure Elimu kwa kila Mtanzania, kwa kweli tulipifikia ni mahali ovyo kabisa, Wananchi lazima tuungane kuleta Demokrasia ya kweli Tanzania,Nchi ni yetu sote hakuna mwenye hati miliki, Waliopo madarakani na wengine wachache wanaoona kuwa fursa ni CCM Lazima tuwabadili mawazo yao waone kuwa fursa ni Tanzania na sio chama ili waache mawazo ya uchawa na kukumbatia chama na wote tusimame kwa ajili ya mustakabali wa nchi.Amkeni ninyi hakuna elimu ya bure,
Nacho jua me elimu ni gharama,
Siku zote ninacho amini cha bure hakina maana,
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tuna wasomi wajinga sana.
Yule hayawani anajielewa nini? Mnamjaza ujinga tu naye anajaa! Akishajaa analipuka, anakamatwa na Polisi na kutiwa ndani huku nyinyi kwenye mitandao mnabakia kuandika hashtags za #️⃣ FreeMdude. Nyinyi mnabakia makwenu wakati mwenzenu anachezea kifiro rumandeMvuta bangi at least anajielewa.
Mpelekee leo karatasi ya mkataba kukodi shamba lake usionyeshe ukomo wake uone kama atakubali,hao unaohisi wana akili wao wanaishi zama za mawe kusaini mikataba ya milele.
Kulalamika ndio kawaida yake, lakini mawazo yake kayapeleka 2025, afanye kazi aache kulalamika."Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan
"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Hapana Yule ni mwanaharakati, ndiyo Yuko na sauti ya Watanzania, tumia akili yakoAnatangaza kwa niaba ya CHADEMA