Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,579
Prof Janabi Mimi Nakubali Sana
Na koti amevuaProffesor Janabi mwenyewe Yuko KFC..
Akijipatia vyake hapa baada ya kutoa Tamko kwa watanzania la Chakula..
View attachment 2923930
Huyu janabi ni mwanasiasa tu hapo ana kitu anakitafuta.watu tumekulia viporo na hatupata madhara yoyote ila kwa sasa tuzingatie ulaji.Rais Samia amesema ni Jukumu la kila mtu Kuzingatia Swala la afya ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama anavyoshauri Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof Mohamed Janabi.
Mama asione hii, kwamba chanjo ya corona imefanyaje vile 😂😂
View attachment 2923639
Yoda pita na huku!!View attachment 2924296
Hili ni funika kombe, hakuna anayeliongelea ila waliochanja wana utando wa platiki unamea ndani ya mishipa yao. Huyu mama aliwatoa Watanzania kafara, halafu madaktari kama Prof Janabi hawaliongelei hili.