Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

Nawashangaa sana watu kwa comments zao humu
Kuna wengine nilikuwa nawadhania ni wa maana kumbe hovyo kabisa

Dunia hii kuna watu hawajatembea ndio maana wanatoa comment za ajabu
Huku nilipo kwa wastaarabu mziki mwisho saa 5 ya usiku
Sasa upo karibu na makazi kelele za nini mpaka manane ya usiku?

Ku flash vyoo baada ya saa 4 usiku ni kero na kuna nchi ni marufuku kabisa na watu wanaishi hivyo
Na hapa pia nilipo ni mwendo huo kama ni flats unaheshimu watu

Mijadala kama hii huwa naishangaa sana na zingine kama miziki kwenye mabasi,maspika ya kuuza madawa ya panya, nk ila watu hawana shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…