ndoto ya kimweri
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 473
- 1,222
Wampeleke Zanzibar au Tanga kutamfaaaAsiletwe ata uku namtumbo,napo kumekua kwa kijanja,watu wanakula Bata,hawataji kusumbuliwa,apelekwe labda nanjilinji
Ukiona zile bunduki zao tu pombe zote zinakutoka na unawaomba msamaha kwa kuzidisha muda na unaondoka kimya kimya. Ukijifanya kidume wa kubishana nao, hawakawii kutangaza ripoti mwamba, "RIRIKUWA RINAPAMBANA NA GESHI RETU RA PORISI" while you are gone.Ebu fikiri umeshakunywa Jack Daniel imezama kichwani sawa sawa wanangia polisi 15 na bunduki sasa kuna tofauti gani na Afrighanstan au Somalia.
Hawezi kudumu muda mrefu, ni mtu wa Majungu na FitinaArusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Na nyinyi acheni kuwapigia watu kelele kwa starehe zenu bhana. Wengine muda huo wanatakiwa kupumzisha akili.Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Ukweli haya majiji ni wakati wa kuwapa Wajanja. Hata Kafulila ilikuwa aende Arusha akatolewa dakika zs mwisho akapelekwa Simiyu, bado Tumbili akaharibu. Watu kama Mtaka wanakaa huko Njombe.Naunga mkono hoja, kuwaleta washamba mikoa ya wajanja ni kuzorotesha maendeleo!.
P
Hao watu kwanini wanaishi maeneo ya BurudaniMimi niko mji mwingine kabisa ila kwa hili la kelele za miziki kwenye makazi ya watu ni too much, NEMC wanastahili lawama sana hivi sasa, vyombo vya miziki vimeingia kwa wingi sana hakuna tofauti na mifuko ya plastic, ukipita kila kona ni kelele, basi iwekwe sheria kila anayeweka muziki aweke sound proofing kwenye eneo lake
Watu wanajielewa mikoa hyo na wastaarabu.
Kwenye mji kama Arusha makazi ya watu ni wapi na Burudani ni wapi?Kelele kwenye makazi ya watu sidhani kama ni jambo la sawa hata kama huyo DC amezaliwa texas.
Wafunge sound proof.Kwenye mji kama Arusha makazi ya watu ni wapi na Burudani ni wapi?
Usimchanganye RC Mtaka na DC Mtanda!.Saa 8 naingia Arusha ukiwa umetamalaki kila sehemu nauliza kulikoni nasmbiwa DC Mtaka.
Kwanini burudani inkwenda kwenye makazi yaoHao watu kwanini wanaishi maeneo ya Burudani
Enforcement siyo kubembelezana.Wacha ushamba wewe,Ndio atembee na Polisi wenye silaha kwenye kumbi za starehe?Kwani akiwaita ofisini kwake na kuwapa maelekezo kuna tatizo gani?
MTANDA si tu ni mshamba ila ana Roho ya kwa nini.Naunga mkono hoja, kuwaleta washamba mikoa ya wajanja ni kuzorotesha maendeleo!.
P
Sure, anataka wenye bar wawe wanamuonaAnatengeneza ka mrija ka kupata chochote kitu
DC aina hii ndio wale washamba shamaba tuArusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar
Enforcement unamfanyia anayekulipa mshahara!Enforcement siyo kubembelezana.
Jiji la Arusha linataka RC mwenye exposure, hawa wengine wangepelekwa Urambo huko.Wangempeleka hata Mvomero