R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,157 Feb 6, 2025 #21 Umesahau kuwa viongozi wa hapa usipowahonga hata kama unaleta kitu chenye tija Kwa wananchi hutopata kibali?
Umesahau kuwa viongozi wa hapa usipowahonga hata kama unaleta kitu chenye tija Kwa wananchi hutopata kibali?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,722 Reaction score 196,449 Feb 6, 2025 #22 Serikali hapangiwi... Cc: Mahondaw
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,779 Feb 7, 2025 #23 BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Kumbe bichwa komwe upo kijijini na hauko daslamu? Aisee pole sana unakosa mengi daslamu
BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Kumbe bichwa komwe upo kijijini na hauko daslamu? Aisee pole sana unakosa mengi daslamu
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,900 Feb 7, 2025 #24 BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Mnaweza kulipia?
BICHWA KOMWE - said: Natoa rai mtandao wa Starlink uwekwe Tanzania. Watu wa vijijini tunateseka. Asante! Click to expand... Mnaweza kulipia?