data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu.
Mbio yenu inaisha 2025.
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti.
Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.
Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...
Maliza mbio.
2026 tuna wakimbiaji wapya.