Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,138
22,709
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu.

Mbio yenu inaisha 2025.
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti.

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio.

2026 tuna wakimbiaji wapya.
 
Mbio yenu itaishia 2025 for thw record ni kwamba hamtafanya lolote au chochote. Na ccm watarudi madarakani kama kawa.

unajua why? watanzania wa kizazi hiki hwana guts za kuijia serikali juu. most of them ni waoga wanafiki na mtabaki kulalamika mitandaoni
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Raisi Samia ni raisi mpya wa awamu ya sita anauwezo hata wakutoendeleza chochote kilichofanywa na mtangulizi wake anauwezo wakuamua kuiacha SGR palepale ilipoishia...kikatiba ni raisi mpya alieingia si kwa njia ya uchaguzi Bali kuchukua nafasi ilioachwa wazi kikatiba...
 
Utaishia kupiga mipasho tu JF.

Hata mwenyewe unatambua kwamba huna lolote utakaloweza kumfanaya hata akienda ndivyo sivyo.
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu
Umeona ile engine aliyo fumuafumua kule garage!!!? 🤣
 
Mbio yenu itaishia 2025.
for thw record ni kwamba hamtafanya lolote au chochote. Na ccm watarudi madarakani kama kawa.

unajua why? watanzania wa kizazi hiki hwana guts za kuijia serikali juu. most of them ni waoga wanafiki.
na mtabaki kulalamika mitandaoni
Kwa Msaada wa TISS kila kitu ni muruwa. Unamuibia mbunge wa kawe kura halafu unamuingiza bungeni kwa mgongo wa nyuma?
Wewe ni mfu tu
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Anaanza Kujitanabaisha mapema tu hivi.
 
Raisi Samia ni raisi mpya wa awamu ya sita anauwezo hata wakutoendeleza chochote kilichofanywa na mtangulizi wake anauwezo wakuamua kuiacha SGR palepale ilipoishia...kikatiba ni raisi mpya alieingia si kwa njia ya uchaguzi Bali kuchukua nafasi ilioachwa wazi kikatiba...
Hiyo awamu ya sita kachaguliwa kwa uchaguzi upi?. Waache kuzuga watu, wapo awamu ya tano kipindi cha pili full stop 🛑.
 
Back
Top Bottom