Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
878
500
Tunalifahamu hilo pole sana..je wewe ni muhanga wa vyeti feki, ubadhirifu wa mali ya umma ama uwekezaji usio kuwa na tija?...anyway it is what it is ...ride with the waves, naamini alifanya kwa ajili ya manufaa ya wengi
Mimi mhanga wa ukabila,ukanda,Undugu,ukaidi na ujeuri
 
kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
878
500
Ni sawa, hata mimi najua alikua mwamba kwa watanzania 84%.

Nyie 16% rais wenu yuko ubelgiji🙄🙄
Mkabila,mkanda,mbaguzi, hao 84% nidyo wako chato kwenye uwanja wa ndege, mbuga ya wanyama ya kulazimisha kila kitu chato kweli ndiyo wapo hao watanzania 84% tutamkumbuka kama ndiyo rais wa hovyo kuwahi kutokea ktk nchi hii
 
SSH amepokea kijiti toka kwa mwamba Mzee baba JPM aliyekua machine kweli kweli lazima gap lake lionekane.....
Atabaki kuwa shujaa na rais wa karne
kweli gap linaonekana maana tulipotea kweli kweli, mtu mkabila na mkanda mkubwa aligawa nchi yetu na ndiyo maana kuna mikoa walifanya sherehe kubwa sana kushurkuru, watu walipotea alikua kama yy ndiyo kila kitu
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,291
2,000
Wewe ndiye unapitisha mgombea huko CCM? Halafu ujue tu awamu ya marehemu wenu iliishia pale alipokufa kwahiyo hakuna cha kumalizia wa nini hii ni awamu ya kwanza ya Rais Samia.
Tulieni..
 
Micho

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
228
225
Mimi mhanga wa ukabila,ukanda,Undugu,ukaidi na ujeuri
Kila kiongozi anauhuru wa kuchagua timu yake anayoiamini na ambayo itamsikiliza na kumsaidia anapotaka kufika...sasa km wengi walikuwa ni kabila lake hio haituhusu sisi watanzania tulimwamini km dereva wetu atatufikisha, konda, fundi engine, fundi tairi anajua yeye..natumeshuhudia wenyewe alivyokuwa akiteua na kutumbua...

Chato ni part ya Tanzania ina haki ya kupata maendeleo km sehemu nyingine yoyote Tanzania...kuna mikoa mingine na wilaya pia zilipata viongozi wa ngazi za juu wakapambana wakatumia nafasi zao kupeleka maendeleo...sio dhambi, mwisho wa siku ni Tanzania inayojengwa..

Ujeuri na ukaidi ni relative...

Mungu ibariki Tanzania
 
Bu'yaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,471
2,000
Mataga mtulie mwacheni Mama afanye kazi yake! Shida ni kuwa mlikaririshwa na Kayafa kuwa kazi ya Rais ni kwenda kuzindua zahanati na vizimba vya masoko! Rais ni Taasisi kubwa, Kazi iendele!
Kazi ya Rais ni pamoja na kuzindua masoko na Zahanati, yes it is.

Vast majority ya Watanzania wanafanya kazi humo masokoni, wanauza ndizi kwenye masinia, na wanatibiwa kwenye hayo mazahanati. Ulitaka Rais ashughulike na nini, aende run vikao vya ku develop anti balistic missile defense systems ????

Tumwache Mama afanye kazi yake my foot! Kwani tumeenda Ikulu kumfunga mikono na miguu ????
 
kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
878
500
Kila kiongozi anauhuru wa kuchagua timu yake anayoiamini na ambayo itamsikiliza na kumsaidia anapotaka kufika...sasa km wengi walikuwa ni kabila lake hio haituhusu sisi watanzania tulimwamini km dereva wetu atatufikisha, konda, fundi engine, fundi tairi anajua yeye..natumeshuhudia wenyewe alivyokuwa akiteua na kutumbua...

Chato ni part ya Tanzania ina haki ya kupata maendeleo km sehemu nyingine yoyote Tanzania...kuna mikoa mingine na wilaya pia zilipata viongozi wa ngazi za juu wakapambana wakatumia nafasi zao kupeleka maendeleo...sio dhambi, mwisho wa siku ni Tanzania inayojengwa..

Ujeuri na ukaidi ni relative...

Mungu ibariki Tanzania
Atakumbukwa kwa ukabila na ubaguzi wa hali juu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom