Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Kwani uwaziri una kilo ngap??
Kweli ndugu!
Acha maskhara mkuu, uwaziri sio udc.
Kwani uwaziri una kilo ngap??
Kweli ndugu!
Unajua elimu ya joketi?Acha maskhara mkuu, uwaziri sio udc.
Unajua elimu ya joketi?
Sasa kinachokufanya umkatae joketi ni nn?Elimu yake inanihusu nini sheikh?
Ukiniambia Godwin gondwe hapo sawa, huyu mshkaji namkubali sana.