Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,602
- Thread starter
- #21
Umeelewa kilichoandikwa?Bora mngefukuzwa wote tu,kazi mnafanya kama konokono harafu mkumbukwe Kwa lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa kilichoandikwa?Bora mngefukuzwa wote tu,kazi mnafanya kama konokono harafu mkumbukwe Kwa lipi?
Pole sana mkuu.Nida wafukuzwe wote manina zao! Mkiwa kwenye viofisi vyenu na madharau na kuwaona wanaokuja kuhudumiwa hapo kama ma takataka flani,mara muwagombeze,mara mututukane,hamujalu hata umri wa mtu shenzi kabisa,nimeshuhudia kijana wa miaka kama ishirini na tano wa nida akimtukana bibi wa watu kisa yule bibi kushindwa kufuata maelekezo ya afisa,nawachukia sana mbwa nyie
Pole sana mkuu!unampiga boonge la kelb ni bora uweke tu, lockup kuliko dharau za ki kuda kama hizo nakiri hata mimi sijapata hiyo National Identity card mpaka leo hiisince 2017 nilivyo jiandikisha ilikuwa kinondoni mpaka sasa wamehamishia kawe hakuna nilicho ambulia zaidi ya Namba ya NIDA pekee hiyo Card nimesha waachia tu
bado suala la passport sasa maana nasikia nahuko ngoma ni nzito sana
![]()
Ndg!Yaani MAMA Samia nita mshukuru sana akiwafuta kazi wote mliopo sasa aajiri wengine kazi mnafanya taratibu sana kama vile mnalazimishwa![]()
Punguza makasiriko, wivu na chukiNyinyi mnatakiwa mfukuzwe nyote hapo halafu waajiriwe watu wengine
Tulipunguzwa ghafla ndio mana tatizo likawa kubwa.Mmh nida kipindi najisajili mlikua wafanyakazi tele ofisi moja ila hadi wa leo sijapata kitambulisho
Punguza makasiriko, chuki na ubinafsiNilijisajili 2014 ili kupata kitambulisho, kwa ile jeuri na dharau mliyonionyesha siku ile sitawasahau.
Mlifikiri sijui sijasoma, hivi huwa mnawaza kila anayekuja kwenu kujiandikisha hajasoma?
Kumbe mlifukuzwa eeh? Safi Sana na mfukuzwe tena huko mlipo
Ila siku nyingine punguzeni dharau na jeuri
Moja ya stahiki ni mikataba ya ajira ya kudumu kama tulivyoahidiwa.Mie niliandikishwa kwa mateso ila hadi leo sijapata ID, nikirudi kwa mtoa mada nakushauri endeleeni kudai stahiki zenu ila hakuna kurudi kazini ni wazembe nyie
Ila ID zilikuwa zinatoka ontime.Kazi moja wafanyakazi mia! Ndo maana MAGUFULI aliwatimua!
Jua kuna kaka zako, dada zako na mama zako walioathirika na hii kituHawa Kenge wafukuzwe na wachomwe moto...
Kuna mtu kasema yeye toka 2014 hajawahi kupata; hapo napo mlikuwa mmefukuzwa.Ila ID zilikuwa zinatoka ontime.
Angalia baada ya sisi kupunguzwa January 2016 wangapi wamepata vitambulisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhn mkipewa nafasi mkajitume mnadhalilisha sana hizo nafasiPole sana mkuu!
Tukiipata hiyo nafasi tena hizo kero hamtazisikia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga kabisa tena mfukuzwe wote.Tumepunguzwa 2016 unategemea nguvu kazi ya kutoa kitambulisho chako cha 2017 itatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe idea? Jikusanyeni watu watano, Nendeni pale bonde la msimbazi karibia na jangwani, zameni mule mtoni muwe mnatoa mchanga, kwa siku hamkosi laki kila mmoja wenu. Kuna madogo wananitolea mchanga mule, hawajui kusoma wala kuandika, wanatoa lorry za kutosha na kunipakilia kabisa..., si chini ya laki 5 wanatengeneza kila siku, mvua ikinyesha kwao ni furaha tu, maana mchanga unakuja mwingi sana! We endelea kulia liaSalamu za wazi kwako mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Kazi iendelee!
Ninakuomba mama utukumbuke watumishi 598 tuliopunguzwa kazi mara tu baada ya Rais Magufuli kuingia na kumtumbua mkurugenzi wetu Dickson Mwaimu na kuteuliwa Bw Modestus Kapilimba kisha kutupunguza wafanyakazi 598 wa NIDA nchi nzima kwa kisingizio cha mlundikano wa wafanyakazi na kuacha uhaba mkubwa wa watumishi wa NIDA na ndio mana utoaji wa vitambulisho vya taifa umekuwa tatizo kubwa sana.
Mama watumishi wengi waliopunguzwa walishajitolea kwa zaidi ya miaka mitano wakiahidiwa na wakitegemea ajira za kudumu lakini haikuwa hivyo baada ya utawala wa awamu ya tano.
Kwa sasa wengi wetu tunaishi maisha magumu sana kwani ajira ni ngumu sana kupata na wengi wetu tuna familia zinatutegemea na pia watanzania wanateseka hawapati vitambulisho kwani NIDA inakabiliwa na uhaba mkubwa wa watumishi.
Tunaomba utufute machozi na jasho letu Mheshimiwa Rais.
Ninatanguliza shukurani zangu kwako mama.
By
Anonymous from Dar es Salaam
😁 😳 😁 😁 😁 😁 😁Poleni sana. Mwendazake alitamani nchi nzima isiwe na watumishi kabisa. Alikuwa anaumia sana kuona watu wanapata mishahara
Hahaaaa we jamaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyinyi mnatakiwa mfukuzwe nyote hapo halafu waajiriwe watu wengine