Maneno matupu hayavunji mfupa. Hayo Maneno kina Kizito kabwela wanayapenda sana.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote.
Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani.
“Tulichagua kuingia mfumo huu wa vyama vingi tukijua kwamba ndani ya mfumo huu tutakwenda kupata maendelo ya haraka kwa sababu vyama viko vingi, macho yako mengi, maono yapo mengi wanavyoona chama kimoja ambacho kipo ndani ya serikali pengine hawatokuwa na macho makubwa ya kuona kama wengine walio nje ya Serikali, na ndio maana tukasema vyama vingi hivi kazi yake ni kuangalia yanayoendelea ndani ya Serikali na kutoa maoni yao, jamani hivi tunakwenda hivi, lakini mbona mmh, mbona tunaona hivi, mbona sheria hii ingebadilishwa hivi, mbona sera hii tungekaa tukazungumza hivi.
“Tanzania haitajengwa na mtu mmoja na chama kimoja. Wote kama Watanzania lazima tujadili mambo yetu iwe sera, sheria, dira lazima tujadili wote kama Watanzania.
"Tukikubaliana, tunakwenda kutekeleza wote kama Watanzania. Atakayekiuka hapo ni mkosaji, awe ametoka kokote kule kwa sababu tulijadiliana na kukubaliana tunaiweka hivi na hiyo ndio itakayokwenda kutuongoza katika utendaji wetu na maisha yetu kwanza ushirikishwaji kutoka serikalini ni uhakika “ Rais Samia Suluhu Hassan
Bado hajajitambua au hajaweka vipaumbele vyake. Anajaribu kina cha maji aone kama akiingia hayatamsomba."Tanzania haitajengwa na mtu mmoja na chama kimoja. Wote kama Watanzania lazima tujadili mambo yetu iwe sera, sheria, dira lazima tujadili wote kama Watanzania.
"Tukikubaliana, tunakwenda kutekeleza wote kama Watanzania. Atakayekiuka hapo ni mkosaji, awe ametoka kokote kule kwa sababu tulijadiliana na kukubaliana tunaiweka hivi na hiyo ndio itakayokwenda kutuongoza katika utendaji wetu na maisha yetu kwanza ushirikishwaji kutoka serikalini ni uhakika “ Rais Samia Suluhu Hassan
HAONI KUWA HAPO ANAMANISHA TUTENGENEZE KATIBA?
AU ANAOGOPA KUTAJA NENO KATIBA MPYA?AU HAJUI ASEMACHO?
Katiba itakuphila,kila ukijamba Katiba,ukigeuka Katiba...Katiba siyo mzizi wa matatizo ya nchi"Tanzania haitajengwa na mtu mmoja na chama kimoja. Wote kama Watanzania lazima tujadili mambo yetu iwe sera, sheria, dira lazima tujadili wote kama Watanzania.
"Tukikubaliana, tunakwenda kutekeleza wote kama Watanzania. Atakayekiuka hapo ni mkosaji, awe ametoka kokote kule kwa sababu tulijadiliana na kukubaliana tunaiweka hivi na hiyo ndio itakayokwenda kutuongoza katika utendaji wetu na maisha yetu kwanza ushirikishwaji kutoka serikalini ni uhakika “ Rais Samia Suluhu Hassan
HAONI KUWA HAPO ANAMANISHA TUTENGENEZE KATIBA?
AU ANAOGOPA KUTAJA NENO KATIBA MPYA?AU HAJUI ASEMACHO?
I always debate with my equals.Katiba itakuphila,kila ukijamba Katiba,ukigeuka Katiba...Katiba siyo mzizi wa matatizo ya nchi
Your equals are as numb as you areI always debate with my equals.
Those who are beneath me (like you for example),i teach and not debate.
Did you mean dumb?Your equals are as numb as you are
I meant numb..you and your equals are really numbDid you mean dumb?
You really are not my equal!
Wewe ndio hujitambui na huna muelekeo 👇Bado hajajitambua au hajaweka vipaumbele vyake. Anajaribu kina cha maji aone kama akiingia hayatamsomba.
numb to people beneath us,like you for example.I meant numb..you and your equals are really numb
Did you mean dumb?
You really are not my equal!
You know what numb means now!!!?numb to people beneath us,like you for example.
And i am done with you..