M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Nov 16, 2014 11,657 8,592 Apr 22, 2021 #601 Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Mbaya zaidi wanaosifia Kiingereza ni vijana wa Upinzani wanaodai eti wana mawazo mbadala!
Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Mbaya zaidi wanaosifia Kiingereza ni vijana wa Upinzani wanaodai eti wana mawazo mbadala!
M Mars 12 JF-Expert Member Feb 25, 2021 221 349 Apr 30, 2021 #602 Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Achana na WAZANZIBARI.
Nebuchadinezzer said: Bado tunasafari ndefu kama nchi. Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia? Click to expand... Achana na WAZANZIBARI.
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,252 113,647 Apr 30, 2021 #603 Kiingereza cha Samia wala si kizuri!