Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Hawa hawa, ndo wale wanaohangaikia kuishi nchi za watu,bila kutambua hapo zilipofika,wenyewe wamejitoa na kuzijenga. Sasa kama unalalama mtanzania hajui kiingeleza, akijuacho hakimtoshi? Haya,kiingeleza chake hakifai,na ni raisi. Wewe chako kinafaa,na uwenyekiti wa mtaa huwezi pewa. Huoni huna maana wewe kwenye nchi yako?

Mbona nchi nyingi zenye maendeleo makubwa,lugha zao ndo zina kipaumbele? Ungeshauli labda mjitosheleze kwa kila kitu,wanaowahitaji ndo wajifunze kiswahili. Chake chamtosha,kazi yake inasonga, anaempinga yeye aendelee kutoka povu tu
 
Unajadiliana na watu usiowajua kwa hoja halafu unaingiza maneno kama mpuuzi mmoja.

Tumia lugha za kistaarabu ukiwa humu jukwaani, hujui unaongea na nani.

Hakuna anayepinga kwamba kingereza sio muhimu tunaupinga ule utumwa wa kuwa tayari kuuza hata utu wako kwa sababu tu ya kujinyenyekesha kwa huyo anayejua kingereza.

Unaopingwa ni huo ulimbukeni wa kufanya kama kujua kingereza ndio tayari tiketi ya kuonana na manabii siku ukifa na kuzikwa.
 
Mleta mada anasumbuliwa na ulimbukeni, na wa aina yake wamejaa Tanzania.
 
Hawana elimu, hayo maPhd, wamepewa they asked for it. Do they even have brains to construct a sentence?
 

Nikujue Wewe ni nani hapa JamiiForums ili iweje? Hvi leo hii kumbe bado kuna Washamba na Wapumbavu kama Wewe ambao wanatishia Watu ( Members ) kuwa Wewe ni nani?

Ninachojua Wewe ni 'Shoga' au uliacha?

Cc: Mokaze
 
Sio mama tu ila wazanzibar wako vizuri kwenye lugha ya malkia, all in all are my best friend, nimesoma nao ,ni watu ambao hawaumbishwi KAMWE , mkijadili mmejadili ,l love them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…