Mwendeshaji, Geeta Mohan
"We'll come back to your goals on Ukraine, but I'll have to ask you this, Madam President. Amid sanctions, you are wanting to do and increase business with Russia. How are you going to circumvent or bypass the sanctions?"
Rais Samia Suluhu Hassan
"Ah, thank you...
Anaandika Gulatone Masiga
Katika siku za karibuni, ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, nchini Urusi imeibua mijadala mbalimbali kuhusu mwelekeo wa sera ya mambo ya nje ya Tanzania.
Wapo wanaoona kuwa hatua hiyo inaweza kutafsiriwa kama ishara...
Dr.Zack
June 2,2026.06:54AM.
Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana.
Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.