Rais Samia Suluhu azindua mtambo wa kisasa taasisi ya moyo Jakaya Kikwete. Asema Kazi ilifanyika Awamu ya Tano

Sasa kama huna mambo ambayo unaweza kuyataja ambayo ameyafanya huyu Mama kuonesha kuwa ni msikivu sasa hiyo sifa ya usikivu ameipata vp? Huoni hapo wewe ndio bure?
Ndugu yangu Mataga juzi tu nimetoka kwenye Ban kwahiyo usinitafutie nyingine
 
Mama Samia atoe ajira 40,000 alizoahidi mei mosi. Vijana huku wana hali mbaya sana. Tumesomesha kwa gharama kubwa halafu wadogo zetu wanaendesha bodaboda!!!!
Mbona zinatolewa kila siku au ww hufatilii?
 
Kuboresha sekta ya afya ni muhimu sana kuliko hata ule mradi wa umeme wa jua.
 
Usidharau sana viongozi wako, hiyo hospitali ni nguvu ya Awamu ya nne.

Hawawezi kuwa na ufuatiliaji kama wa Awamu nyinginezo lakini wana kitu fulani very positive kwa taifa.
Pia msisahau na Mloganzila, Mkapa Hospital, Chuo Kikuu cha Dodoma (kinachukua zaidi ya vijana elfu 40), daraja la Kigamboni, Mwendokasi, barabara zilizompatia umaarufu aliyekuwa waziri wake wa ujenzi, Terminal III (JKNIA), nk ,nk.

Awamu ya nne alifanya alitimiza wajibu wake lakini awamu ya tano alipoingia madarakani kwa hulka ambayo tunaifahamu akataka kuwaaminisha wafuasi wake kuwa awamu ya nne hakufanya kitu!!

Hata hivyo, ni stahiki yake kushambuliwa kwa sababu alifikiri anatukomoa kuruhusu mtu aliyemfahamu vyema kushika nafasi kama hiyo!!! Karma!! Kwa hivyo ni rukhsa, mpigeni za uso kadri mnavyoweza.
 
Hii ni tweet ya Mwananchi:

“Miongoni mwa wanaotibiwa hapa wanatoka nchi jirani kama Burundi, Ethiopia, Malawi Marekani, Misri, Rwanda, Uganda na Ugiriki hii ni hatua nzuri kuelekea azma yetu ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi Afrika ,” - Rais @SuluhuSamia.
 
Siyo kweli. Alichosema Rais leo ni kuifanya JKCI iwe ya Kimataifa katika matibabu ya kibingwa. Na amefurahi kusikia hiyo orodha ya Mataifa raia wao kutibiwa nchini.
 
Siyo kweli. Alichosema Rais leo ni kuifanya JKCI iwe ya Kimataifa katika matibabu ya kibingwa. Na amefurahi kusikia hiyo orodha ya Mataifa raia wao kutibiwa nchini.

Inawezekana wafanya kazi katika hizo balozi za nje wamepatiwa matibabu pale ndio kisa cha kulemba hizo huduma zitolewazo hapoJKCI!!! Hata Mkapa na Magufuli nao si walipitia hapo!!!
 
Back
Top Bottom