Rais Samia Suluhu awasili Urusi

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
297
Reaction score
285
■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg

■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi

■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050

 
Mbona Putin hajaenda kumpokea!
Halafu hilo dege la Boeing la watu zaidi ya 200 limetumia gharama ya shilingi ngapi za sisi walipa kodi mpaka kufika huko Urusi?
 
Neno langu kwako B hadija hata kama umepokelewa na wasaidizi wa Putin hakikisha hapa
Unarudi na mafuta, na mitambo ya kurutubisha uranium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…