Rais Samia Suluhu amefeli mazima kuendesha hii nchi

Rais Samia Suluhu amefeli mazima kuendesha hii nchi

You are not serious 😁
Unazifahamu failed states?
Screenshot_20260626_123246_Google.jpg
 
Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo.

Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye ni dhaifu na hana cha kuwafanya.

Unapokuwa Rais jukumu kubwa ni kulinda ustawi wa watu wako na kulinda mipaka ya nchi yako.

Haiwezekani watu watu wanauawa kwa silaha za moto (october 29 nakuendelea) wewe upo tu.

Raia zaidi ya 200 including aliyekuwa mteule wako wanatekwa wewe upo tu.

Mauaji ya October, utekaji si mambo yaliyotokea kwa bahati mbaya, ni either uliyapanga wewe au udhaifu wako umepelekea matukio hayo yatokee.

Tafadhali tuachie Tanganyika yetu. Mpe hata fisadi Nchimbi mtanganyika mwenzetu ila wewe kwakweli HAPANA.
Yuko BUSY na TIPWA TIPWA la ZIMBABWE.
 
Kuna muda nawaza kile kiti hakina mkaliaji anayekiweza. maana kwa ukimya huu ni kama hajali lolote na sio kama hasikii wala haoni
 
Magufuri aliweka mizizi mikubwa sana katika uongozi wake

Leo hii jiwe ni marehemu ila mizizi aloipanda ndan ya serikal bado ina mea kwa kasi sana
Huyu mama tutamraumu bure tu maana hawezi na hawa uwezo wa kuikata mizizi iliyo wekwa na jiwe
 
Hayajaanza wakati wa Samia tu
Kipindi Cha jiwe yalikuwa hayatokei?
Huu ni mwendelezo tu,
Asilaumiwe
Matukio yameasisiwa na Kikwete nayeye ndiye mvurugaji hata kipindi cha jpm niyeye aliteka watu nasasa anashirikiana na demu wake.
 
Sidhani kama hayo uliyoyataja ni kipimo halisi cha kufeli kuongoza nchi. Itafika mahali utashindwa kumuingilia mkeo utamlaumu Samia.

Be focused
ni muhimu kuwawajibisha viongozi kuhusu usalama wa wananchi, kwani hilo ni jukumu lao la msingi. Hata hivyo, si sahihi kuhitimisha moja kwa moja kwamba Rais ndiye aliyepanga matukio hayo au ndiye chanzo chake bila ushahidi wa kuthibitisha madai hayo. Kukosoa uongozi kunakuwa na nguvu zaidi kunapojengwa juu ya ukweli, ushahidi na hoja zinazoweza kuthibitishwa.

Badala ya lawama zisizo na uthibitisho, ni vyema kudai uchunguzi huru, wa kina na wa uwazi kuhusu mauaji na matukio ya utekaji, ili wahusika wote wawajibishwe bila kujali nafasi zao. Lengo linapaswa kuwa kupata haki kwa waathirika, kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha taasisi za dola zinatimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
 
Magufuri aliweka mizizi mikubwa sana katika uongozi wake

Leo hii jiwe ni marehemu ila mizizi aloipanda ndan ya serikal bado ina mea kwa kasi sana
Huyu mama tutamraumu bure tu maana hawezi na hawa uwezo wa kuikata mizizi iliyo wekwa na jiwe
Na Nyerere aliweka nini?

Mkapa Kuna mtu alijenga taasisi imara kama huyu? Sio Tiss, Tra, Vat, Immigration, jwtz, tanapa, local government, infrastructure.

Acheni kumpa mtu u special ambayo hana
 
Unakubariana na mimi kuwa Risasi za mpira na maji washa, zingetosha kuzuia maandamano yale?
Wewe hukuwa barabarani, uneangalia tu kwenye TV na kusoma mitandao. Ule muziki ulikuwa mnene, mabomu ya machozi na hizo risasi za mpira zisingefua dafu
 
Sidhani kama hayo uliyoyataja ni kipimo halisi cha kufeli kuongoza nchi. Itafika mahali utashindwa kumuingilia mkeo utamlaumu Samia.

Be focused
Nyumbu wapumbavu sana hao, ni wa kuwadharau tu kama walivyodharauliwa na Mungu.
 
Unakubariana na mimi kuwa Risasi za mpira na maji washa, zingetosha kuzuia maandamano yale?
Endapo kama wachache wa waandamanaji walikuwa na silaha za moto,na jeshi letu likaenda na silaha za plastic ingekuwaje?kwa watunza amani yetu, (zoezi lile la 29 lilikuwa well organised ni mapinduzi halisi,ambayo yalishatamkwa awali,labda suala la kumnukuu tuliache kwako,----tutaasi,--tutafanya mapinduzi ---uchaguzi hautafanyika!---tunajua jinsi tutakavyozuia uchaguzi ---
#Its clear,it was a well calculated,and not-- coincedence!
 
Idadi ya watanzania,idadi ya matukio,linganisha na mataifa mengine,utaona Tanzania tupo chini mno,kitakwimu kulinganisha na nchi zenye idadi ya watu kama sisi,je nchi zote hizo zimefail?,
*Mapenzi,
*Wivu
*Dhuluma
*Wizi
*Visasi
*Mafumanizi
*Husda tu za kutoana roho za wanadamu.
*Tamaa ya mali na utajiri
#Haya ni baadhi tu mambo yanaleta maafa katika jamii.
Acha usenge baridi utaingia mbinguni.Unalinganisha upumbavu na ujinga ili upate lulu?
 
Back
Top Bottom