Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,878
- 29,403
Mama Wegesa matusi ni ishara kuwa huna hoja, kaa kimyaAcha usenge baridi utaingia mbinguni.Unalinganisha upumbavu na ujinga ili upate lulu?
Mama Wegesa matusi ni ishara kuwa huna hoja, kaa kimyaAcha usenge baridi utaingia mbinguni.Unalinganisha upumbavu na ujinga ili upate lulu?
Huwa unajionesha ulivyo bwege kwa uandishi wako wa kifarasi.Mama Wegesa matusi ni ishara kuwa huna hoja, kaa kimya
Kwanini waende kushambulia watu majumbani kwa silaha za moto? Unajua mapinduzi wewe au unawaza kwa kutumia kiungo gani? Raia wanaweza kumpindua mtu wanayempenda? Vipi kuhusu utekaji?katika maandamano ni kupeleka ujumbe,ila wengine walichoma mali za ndugu zetu na kutuibia.Wabongo wamefeli kuratibu maandamano.Tuogee ukweli zile zilikua fujo za kupindua nchi.Yangekua ya amani hata mimi ningetoka
Mlimkamata raia yoyote mwenye siraha ya moto? Pamoja na interejinsia yote?Endapo kama wachache wa waandamanaji walikuwa na silaha za moto,na jeshi letu likaenda na silaha za plastic ingekuwaje?kwa watunza amani yetu, (zoezi lile la 29 lilikuwa well organised ni mapinduzi halisi,ambayo yalishatamkwa awali,labda suala la kumnukuu tuliache kwako,----tutaasi,--tutafanya mapinduzi ---uchaguzi hautafanyika!---tunajua jinsi tutakavyozuia uchaguzi ---
#Its clear,it was a well calculated,and not-- coincedence!
HahahaMwishowe utaniambia niombe list ya 50, itakuja Afrika nzima
Raisi hana shida sana ishu ipo kwa wanaomzunguka ni mafisadi na waroho wa madaraka.Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo.
Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye ni dhaifu na hana cha kuwafanya.
Unapokuwa Rais jukumu kubwa ni kulinda ustawi wa watu wako na kulinda mipaka ya nchi yako.
Haiwezekani watu watu wanauawa kwa silaha za moto (october 29 nakuendelea) wewe upo tu.
Raia zaidi ya 200 including aliyekuwa mteule wako wanatekwa wewe upo tu.
Mauaji ya October, utekaji si mambo yaliyotokea kwa bahati mbaya, ni either uliyapanga wewe au udhaifu wako umepelekea matukio hayo yatokee.
Tafadhali tuachie Tanganyika yetu. Mpe hata fisadi Nchimbi mtanganyika mwenzetu ila wewe kwakweli HAPANA.
Wee jamaa ni hasara tupu 👎Fazulo penda kuzungumza kwa data,achana na wanasiasa wanaojali matumbo yao zaidi na kuwageuza wajinga mitaji!...
======
The International Committee of the Red Cross (ICRC) maintains the primary regional tracking network for missing loved ones. Based on their missing caseload records for the continent, the primary African countries with the highest number of disappeared individuals include: [1, 2, 3]
#Tanzania katika masuala ya uhalifu au watu kupotea hatupo kwenye rekodi hata ya nchi 20 zenye matukio hayo!
- Nigeria: >24,000 cases
- Somalia: ~9,500 cases
- Mozambique: ~6,200 cases
- Sudan: ~6,200 cases
- South Sudan: ~5,900 cases
- Ethiopia: ~5,400 cases
#ICC walipaswa kwanza waende kwenye nchi hizi,kuzibana serekali zao!
Tumia ignore button mkuu, mbogamboga wasiojielewa wa humu nimeignore 90%.Wee jamaa ni hasara tupu 👎
Umeona eeh!! Tusijidogoshe hatuko wachovu kihivyoHahaha
Huwezi na hutaweza kuingiza mahala ambapo hukubaliki.Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo.
Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye ni dhaifu na hana cha kuwafanya.
Unapokuwa Rais jukumu kubwa ni kulinda ustawi wa watu wako na kulinda mipaka ya nchi yako.
Haiwezekani watu watu wanauawa kwa silaha za moto (october 29 nakuendelea) wewe upo tu.
Raia zaidi ya 200 including aliyekuwa mteule wako wanatekwa wewe upo tu.
Mauaji ya October, utekaji si mambo yaliyotokea kwa bahati mbaya, ni either uliyapanga wewe au udhaifu wako umepelekea matukio hayo yatokee.
Tafadhali tuachie Tanganyika yetu. Mpe hata fisadi Nchimbi mtanganyika mwenzetu ila wewe kwakweli HAPANA.
Mpumbavu ni Samia mkuu.H
Huwezi na hutaweza kuingiza mahala ambapo hukubaliki.
Samia hakubaliki ndani na nje ya chama chake.
Mtu aliyetangazwa mshindi kwa kura zooote zile kama ni kweli anaogopa chama ambacho hata uchaguzi hakijashiriki? Hao waliomvhagua kama ni kweli kwa wingi huo wako wapi Sasa? Si wangesusia mikutano ya chadema?
Sisi waafrika ni wapumbavu sana
Akubalike asikubalike hiyo haimpotezei usingizi, yeye ndiye Rais wa Tanzania hadi 2030H