Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Ni wazi Rais Samia atasikiliza kilio cha Watanzania juu ya kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mchakato aliousimamia yeye binafsi akiwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba.
Nakukumbusha mama wajumbe walilipwa fedha nyingi ambazo ni kodi za masikini lakini wajumbe walishindwa kuwapatia wananchi katiba mpya hilo ni deni tunawadai
Nakukumbusha mama wajumbe walilipwa fedha nyingi ambazo ni kodi za masikini lakini wajumbe walishindwa kuwapatia wananchi katiba mpya hilo ni deni tunawadai