Rais Samia ongeza magari/mitambo ya kuchimbia visima

Chakwale

JF-Expert Member
May 17, 2015
1,068
1,542
Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima.

Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji na umuhimu wake.

Maji ni tatizo kubwa sana Nchini mwetu hususani maeneo ya Vijijini na hata mijini pia. Adha, kero na usumbufu wake ni mkubwa kwa akina mama mana wao ndio wenye jukumu la utafutaji wa maji.

Mh. Rais Samia ww ni Mama, Rais na Mwanamke kama ambavyo unapenda kujitanabaisha,unajua kero tabu shida na masumbufu wanayopata kina Mama ktk utafutaji wa maji.

Kero hizi huhitaji kusimuliwa wala kuelezwa sababu Nina imani unazijua vyema mana umeziishi kabla hujafika huko uliko Leo.

Ila binadamu tumeumbwa na sahau nina kukumbusha tu Mh. Rais kulivalia njuga hili suala la maji nchini kama lilivyovaliwa njuga suala na kuondoa machinga maeneo yasiyo rasmi.

Ushauri Wangu,haya magari ya Uchimbaji Visima yaongezwe walau kila Wilaya Nchini yawepo magari matatu ambayo yatakuwa yanachimba Visima kwa bei Nafuu itakayokuwa Elekezi ila kila mwenye uwezo achimbe.

Visima vikiwa vingi hata wale wasio na uwezo wa kuchimbiwa majumbani mwao watanunua kwa wale waliochimba hivyo tatizo la maji kuwa historia. Uzuri wa haya magari hata kama yatamaliza kazi ya Uchimbaji yanaweza badilishiwa matumizi na kuendelea kufanya kazi nyingine za Umma.

Mh. Rais tunaweza kununua ndege, kujenga Reli Mpya ya kisasa SGR ambazo zinagharimu pesa nyingi mnoo lakini kama sisi wananchi wenu tunahangaika na mambo madogo madogo kama upatikanaji maji safi na Salama ni tatizo, hata hayo mnayoyafanya yanakuwa hayana maana saana sababu hizo ndege hazitusaidii.

Nina matumaini yangu ujumbe huu utakufikia Mh Rais na utaufanyia kazi, ni mm kijana Mzalendo.
 
KILA WILAYA YAKIWEPO MATATU NI SAWA. naunga mkono hoja
Naam Japo matatu mkuu kwa uchache wake yangesaidia sana suala LA maji,Mama kusubiri kuunganishiwa na serikali nyumba moja hadi nyingine Nchi nzima ni shughuli pevu istoshe serikali bado ina mlolongo chungu nzima ya mambo ya kuyatekeleza.
Hili LA uchimbaji ni gharamu nafuu zaidi kuliko za kuyatoa maji lets say Mwanza kutoka Ziwa Victoria hadi Dodoma gharama zake ni kubwa ila ukiwachimbia watu visima kikiisha kimeisha zinabaki gharama ndogondogo tu za uendeshaji kitu ambacho wananchi sio tatizo kwetu.
 
Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima.

Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji na umuhimu wake.

Maji ni tatizo kubwa sana Nchini mwetu hususani maeneo ya Vijijini na hata mijini pia. Adha, kero na usumbufu wake ni mkubwa kwa akina mama mana wao ndio wenye jukumu la utafutaji wa maji.

Mh. Rais Samia ww ni Mama, Rais na Mwanamke kama ambavyo unapenda kujitanabaisha,unajua kero tabu shida na masumbufu wanayopata kina Mama ktk utafutaji wa maji.

Kero hizi huhitaji kusimuliwa wala kuelezwa sababu Nina imani unazijua vyema mana umeziishi kabla hujafika huko uliko Leo.

Ila binadamu tumeumbwa na sahau nina kukumbusha tu Mh. Rais kulivalia njuga hili suala la maji nchini kama lilivyovaliwa njuga suala na kuondoa machinga maeneo yasiyo rasmi.

Ushauri Wangu,haya magari ya Uchimbaji Visima yaongezwe walau kila Wilaya Nchini yawepo magari matatu ambayo yatakuwa yanachimba Visima kwa bei Nafuu itakayokuwa Elekezi ila kila mwenye uwezo achimbe.

Visima vikiwa vingi hata wale wasio na uwezo wa kuchimbiwa majumbani mwao watanunua kwa wale waliochimba hivyo tatizo la maji kuwa historia. Uzuri wa haya magari hata kama yatamaliza kazi ya Uchimbaji yanaweza badilishiwa matumizi na kuendelea kufanya kazi nyingine za Umma.

Mh. Rais tunaweza kununua ndege, kujenga Reli Mpya ya kisasa SGR ambazo zinagharimu pesa nyingi mnoo lakini kama sisi wananchi wenu tunahangaika na mambo madogo madogo kama upatikanaji maji safi na Salama ni tatizo, hata hayo mnayoyafanya yanakuwa hayana maana saana sababu hizo ndege hazitusaidii.

Nina matumaini yangu ujumbe huu utakufikia Mh Rais na utaufanyia kazi, ni mm kijana Mzalendo.
Mjinga mkubwa wee! Samia hana fedha zake kwa ajili ya maendeleo ya nchi! Fedha ni za umma hivyo pitisha maombi au hoja zako kwa Mbunge wako.

Ni uzuzu kwa msomi kama wewe kudhani Samia ndiyo ana fedha za nchi!

Pumbavu!
 
Nashukuru Mkuu kwa matusi,Nafahamu fika Rais Samia mshahara wake hautoshi kufanya haya niliyoyaomba na hata kama ingekuwa unatosha bado ni hiari yake kufanya or kutofanya..Lakini pia Rais Samia ndie mwenye Serikali,ndie tuliempa dhamana ya kusimamia pesa zetu anaweza kufanya lolote kadiri ya matakwa yake kama tulivyoona serikali nyingine zilizopita zikifanya..anaweza kuzielekeza pesa mahali ambapo yeye anaona pana tija tofauti na sisi tunavyoona hivyo kumuomba ni Uungwana tu ambao hauondoi usomi wowote kwa MTU na kuonyesha Umwamba sana au kujua sana hakukufanyi uonekane msomi sana kama ambavyo unataka kuniaminisha.
Hii Nchi ina mambo mengi ya kufanya mengi sana shida ziko nyingi mnooo ukilinganisha na kipato cha serikali inachokipata kutokana na makusanyo ya kodi..So kumshauri,kupendekeza or kumuomba Mh.Rais ajikite ktk vipaumbele vyetu hasa tunavyovihitaji sio dhambi mkuu.
 
Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima.

Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji na umuhimu wake.

Maji ni tatizo kubwa sana Nchini mwetu hususani maeneo ya Vijijini na hata mijini pia. Adha, kero na usumbufu wake ni mkubwa kwa akina mama mana wao ndio wenye jukumu la utafutaji wa maji.

Mh. Rais Samia ww ni Mama, Rais na Mwanamke kama ambavyo unapenda kujitanabaisha,unajua kero tabu shida na masumbufu wanayopata kina Mama ktk utafutaji wa maji.

Kero hizi huhitaji kusimuliwa wala kuelezwa sababu Nina imani unazijua vyema mana umeziishi kabla hujafika huko uliko Leo.

Ila binadamu tumeumbwa na sahau nina kukumbusha tu Mh. Rais kulivalia njuga hili suala la maji nchini kama lilivyovaliwa njuga suala na kuondoa machinga maeneo yasiyo rasmi.

Ushauri Wangu,haya magari ya Uchimbaji Visima yaongezwe walau kila Wilaya Nchini yawepo magari matatu ambayo yatakuwa yanachimba Visima kwa bei Nafuu itakayokuwa Elekezi ila kila mwenye uwezo achimbe.

Visima vikiwa vingi hata wale wasio na uwezo wa kuchimbiwa majumbani mwao watanunua kwa wale waliochimba hivyo tatizo la maji kuwa historia. Uzuri wa haya magari hata kama yatamaliza kazi ya Uchimbaji yanaweza badilishiwa matumizi na kuendelea kufanya kazi nyingine za Umma.

Mh. Rais tunaweza kununua ndege, kujenga Reli Mpya ya kisasa SGR ambazo zinagharimu pesa nyingi mnoo lakini kama sisi wananchi wenu tunahangaika na mambo madogo madogo kama upatikanaji maji safi na Salama ni tatizo, hata hayo mnayoyafanya yanakuwa hayana maana saana sababu hizo ndege hazitusaidii.

Nina matumaini yangu ujumbe huu utakufikia Mh Rais na utaufanyia kazi, ni mm kijana Mzalendo.
CCM Hamnaga akili kabisa Mama Aamoa katoa hela wapi?
 
Nashukuru Mkuu kwa matusi,Nafahamu fika Rais Samia mshahara wake hautoshi kufanya haya niliyoyaomba na hata kama ingekuwa unatosha bado ni hiari yake kufanya or kutofanya..Lakini pia Rais Samia ndie mwenye Serikali,ndie tuliempa dhamana ya kusimamia pesa zetu anaweza kufanya lolote kadiri ya matakwa yake kama tulivyoona serikali nyingine zilizopita zikifanya..anaweza kuzielekeza pesa mahali ambapo yeye anaona pana tija tofauti na sisi tunavyoona hivyo kumuomba ni Uungwana tu ambao hauondoi usomi wowote kwa MTU na kuonyesha Umwamba sana au kujua sana hakukufanyi uonekane msomi sana kama ambavyo unataka kuniaminisha.
Hii Nchi ina mambo mengi ya kufanya mengi sana shida ziko nyingi mnooo ukilinganisha na kipato cha serikali inachokipata kutokana na makusanyo ya kodi..So kumshauri,kupendekeza or kumuomba Mh.Rais ajikite ktk vipaumbele vyetu hasa tunavyovihitaji sio dhambi mkuu.
Acha undezi wee mpumbavu, Samia hajadili mipango ya maendeleo, bali inajadiliwa bungeni!

Wasomi kama wewe mnatia kinyaa kwa kumuabudu binadamu mwenzako. Peleka hoja zako bungeni zikikataliwa fahamu siyo kipaumbele cha wengi!
 
Bunge lipi linalo jadili hoja za Wananchi?hili ambalo lilishauri lenyewe kuhusu tozo na likaja kubadilika lenyewe badala ya Rais kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu ukubwa wake au?Ungeniambia umuhimu wa katiba Mpya inayompunguzia Rais mamlaka hapo ningekuona kidoogo una akili ila huu utopolo wako wa kutaka kuniaminisha kuwa kutoa ushauri ni ujinga kaa nao tu mkuu..
By the way,kuheshimu mamlaka inayojiheshimu ni uungwana na ustaarabu.Matusi hata mm nayajua ila sioni mantiki ya kufanya hivyo..
 
Acha kijidhalilisha!
 
CCM Hamnaga akili kabisa Mama Aamoa katoa hela wapi?
Mkuu kama unamuonea wivu Rais Samia mm kumuomba aongeze magari ya kuchimba visima,Usijali ntaanzisha Uzi mwingine Mkuu Kurunzi wa kukuomba ww uongoze sisi wananchi tunachotaka ni huduma tu haijalishi anaitoa nani..
 
Sijui umeongea nini wewe Mkaguru Mgogo nafikiri urudi tu kwenu pale Chakwale najua pale maji safi na salama hakuna, nimuonea wivu ili iweje, Rais Hana hela anazitoa wapi, acheni ujinga nyinga nyie
 
Mkuu ni kweli Chakwale maji safi na salama ni tatizo,na si Chakwale tu sehemu kubwa ya Nchi yetu ina tatizo hilo.hivyo ninapomkumbusha Mh Rais nawakilisha kundi kubwa ktk jamii yetu.
 
Mkuu kwa hayo matusi unayopewa achana nao ufanye Mambo mengine watakuchosha
 
Back
Top Bottom