Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Anasimama na Wananchi gani? Wamachinga mambo hovyo, Bei vitu mtaani haikamatiki na tozo kila kona
 
Safi sana Mama Samia
anatuchezea akili,hatutaki maneno!!? ,Kama kweli mbona hatuoni vitendo vinavyoakisi kweli amesimama na wananchi,hizo ni nons........w........n.....seeeeeeee!! we need action to prove her commitment to us!!! and not just bla bla balaaa.
 
Chief H bhana, kila jambo Na kila tope anataka kuaminisha kuwa yamesababishwa Na mwanaChato
Na bado mtatiana sana vidole machoni MaCCM.
Ni unafiki mkubwa kuamini HAYAWANI Magufuli alikua kiongozi. Ni Muharibifu.
Magufuli kavuruga CCM, kavuruga nchi, na kaharibu kibisa mifumo ya mihimili.
Alaaniwe na kizazi chake chote.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Hapa nina shaka na weledi wa kiuongozi kwani nadhani ni jukumu la kurekebisha mabovu sio hii
 
Aiseee hii awamu nayo ipite tu tena Dj wetu mpenzi Dj sir God apeleke mbele tu had season ya 7 napo tuone
 
Mama hamjameelewa yaan kwenye k koo derby atasimama upande wa yanga
maji mgao
umeme mgao
tozo juu
sukari juu
mafuta juu
mafuta ya kula juu
gesi juu
hii ya sabuni kupanda bei ndo imenishangaza
@ ama kwel kazi iendelee*🤐🤕🥳
 
Anasimama na Wananchi gani? Wamachinga mambo hovyo, Bei vitu mtaani haikamatiki na tozo kila kona
Kwa iyo unataka watu wapange vitu hadi barabarani waachwe tu?

Unataka maendeleo alafu hutaki kulipa kodi?

Utakuwa mwehu wewe
 
Nadhani lile kundi la Majaliwa na agenda yao ya kuwania uraisi 2025 kama ilivyoripotiwa humu jukwaani Mama ameshaligundua na oparesheni ya kuliengua itaanza rasmi!!
 
Wananchi gani anaowaongelea mbona sisi hatumuelewi? Alafu aache janja zake za kujitetea kila kukicha bila kuchukua hatua zozote. Tushachoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom