Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Hadi sasa bado najiuliza sipati jibu, hivi yeye han akili mpaka ashindwe kujua hili ni sahihi au sio sahihi?
Leo amesema Urais ni taasisi inayooongozwa na Mtu Kwa hiyo wakati mwingine inakosea taasisi siyo yeye.
 
kuna kitu mama hajakijua, wanaomuunga mkono wanamchezesha mchezo wa kisiasa dhidi ya sukuma gang ili wao wanufaike kisiasa, atakuja kuligundua hili akiwa amechelewa na hapa ndo atapitia wakati mgumu zaidi kisiasa, mi naombea huu upuuzi uendelee ili ccm tuwangoe 2025
 
Habari za leo wadau.

Juzi Rais akiwa Bandari amesema yeye atasimama na Wananchi. Najiuliza swali

#1. Rais anasimama na Wananchi hawa hawa walioongozewa TOZO, baada ya kulalamika wakaambiwa wahamie Burundi.

Au kuna Wananchi wengine?

#2. Rais anasimama na Wananchi hawa hawa ambao kila siku wanakumbana na Mfumuko wa Bei na Raisi amekaa kimya.

Au kuna wananchi wengine?

#3. Rais anasimama na Wananchi hawa hawa ambao wanakumbana na Mgao wa Maji na Umeme kila siku. Au kuna Wananchi wengine.?.

#4. Rais anasimama nan Wananchi hawa hawa wanaozuiwa kufanya Sisa (Wapinzani nao ni Wananchi). Au anasimama na Wananchi wa CCM Pekee.

Nawasilisha.
 
Tz kuna maajabu mengi sana, sasa kama baba/mama mwenye mji anaogopa kupambana na nyoka mdogo aliyeingia ndani mwake kwa kutishia kulala nje, sisi watoto wadogo tutafanyaje
 
Wahuni wanasema chama kimerudi mikononi mwao. Mwenyekiti naye ni muhuni kwa mujibu wa muhuni aliyetoa tamko hilo.
 
Mpaka 2025 tutaona mengi na kusikia mengi uzuri wapinzani hawapo na hilo ndo liwe funzo kwake kwamba wapinzani wake sio CDM
Kwa bei hizi za mafuta na vitu madukani kusimama na wananchi labda mdomoni lkn kwa vitendo hawezi,amesimama na matajiri ndiyo maana gesi amewaachia wapange bei ingawa zenji kuna tume ya kudhibiti bei na juzi imenyang'hanya leseni za walipandisha bei ya sukari kuwa 2800/-bei inayotakiwa ni 2200/-tupo tunaumizwa.
 
Back
Top Bottom