Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Ushauri kutoka kwa Waziri wastaafu Msuya na Warioba wamekupa siri kuu
Wananchi wanahitaji maendeleo sio kuumizana
Anza na kesi ya Mbowe Mahakama zinakuingiza mkengd
Serikali ni kubwa mno
Punguza viongozi utawala
Unaowateua hawana kazi ndio maana wanashinda wakizunguka kuongea upumbavu
EU Bunge uyumbe umewafikia wahusika.....

Take action sio kulalamika tuuuuuu then what?
 
AMEN AMEN
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Mwisho wa siku hiyo kauli yake ataikana ushahidi utakapoanza kuoneshwa hadharani. Mwananchi gani atakayekubali kusimama naye wakati walishamwelewa yukoje na lengo lake ni lipi?
 
Mataga wengi ndio wamejaa kwenye Ofisi za Umma kufilisi Nchi. Wanagawana keki ya Taifa kwa kivuli cha UCCM.
 
M
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
MAMA AKAE NA WAPINZANI AUNDE KIKOSI KAZI CHA WATAALAMU KITAKACHO PAMBANA KUINUA UCHUMI WETU!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Na huu ndio ukweli.Hii nchi ilishaharibiwa Sana na Mwendazake na genge lake na Sasa wale masalia wanajitahidi Sana kumharibia Ili aonekane ameshindwa ..

Mama bila kusafisha hao wapuuzi hufiki na Ili washike adabu wakamate na uwatie ndani kwa uwizi walioufanya .

Jumba bovu ndio wamekuachia,yeyote asiyetaka kwenda na wewe fukuza haraka Sana.
 
Anasimama na Wananchi wapi hao anawazungumzia?

Wale wale waliombiwa na mwigulu kua wahamie burundi?

Au Mimi Ndo sijaelewa[emoji848]
Keshawafahamu,wewe tulia wataenguliwa na watazibwa midomo hawataki wataenda kujibia utajiri walionao walipata wapi.
 
Anasimama na cc wananchi kwa kupandisha vitu bei tofauti na hawamu ya tano sasa hivi kila kitu bei ya juu
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Tumuamini nani sasa maana kila anayekuja anasema mwenzake alisababisha uozo😃😃😃
 
Anataka kusema John Pombe Joseph Magufuli na kundi lake ndiyo walikuwa mafisadi papa?

WAHUNI WA POLEPOLE.
Anataka kusema kwamba hata yeye ni binadam anafanyaga makosa ila sasa haya ya sasa siyo yake
 
Sisi tunasimama na tozo na maisha yetu ....yeye asimame na CCM wenzake...
 
Mama anatucheza shere.... Unaweka mtu km JM halafu unakuja kulaumu????
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Hapa nakumbuka kesi ya kigaidi ya akina mbowe iliyoanza tar 5 august 2020 nayo ni moja ya Mambo ya hovyo
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Anamlaumu Magufuli huyu kwani kazi imemshinda sasa keshaanza kulialia
 
Back
Top Bottom