Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Hiki kiberenge Ndo kihuni nambari wani nchini.

Hiki ndicho kilichosimamia kidete manunuzi haramu ya Binadamu kuelekea uchaguzi utadhani bado tuko enzi za slave trade.
IMG-20211203-WA0015.jpg
 
Mama kama yuko na Wananchi kwa nini asijiunge na Chama cha Wananchi CUF. Just jocking 😁
 
Ni kweli achague kusimama na sisi wananchi na aachane kusimama na wana CCM ambao wengi wao ni wanafiki, kula na kuliza ndiyo tabia yao.

Maana wana CCM washaona kama kwamba mama ni mali yao..kila siku kumkosoa kosoa, ilo aongoze nchi wanavyotaka wao.. hapana.

Kusimama na wananchi ni kushusha bei za pembejeo
 
Nasi tutasimama na Rais wetu Samia Suluhu Hassan kuhakikisha kazi inaendelea kwani Tanzania ndio baba na mama

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote wenye nia njema na taifa hili
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.😄😄😄😄
 
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Kwa hiyo hayo makundi ni masalia ya mwendazake. Sawa Sukuma Gang wanamzoom tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hamumuelewi huyu mama,anaposema awamu zilizopita anamaanisha awamu ya Kikwete,maana awamu ya tano ni yake na Mwendazake.😄😄😄😄
Mama alishasema Awamu yake ni ya sita acha kupotosha ukweli.
 
Mama alishasema Awamu yake ni ya sita acha kupotosha ukweli.
Unajua majukumu ya makamu wa rais?
Kama anajitoa awamu ya tano,ajitoa na kwenye hiyo miradi yote inayoendelea ili tujue yeye ni malaika na hahusiki.
 
Wakati mwingine ni busara ni kutokuongea sana, matendo ni muhimu isitoshe haijui kesho yake hata Magufuli alianza vizuri tu na akina Nape Makamba & Co. wakati huo adui ni Lowasa hivyo asiwaamini sana watoto wa single mothers, wanaompamba ndiyo watakaomgeuka na kumuangusha.
 
Back
Top Bottom