Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,546
- 2,176
Acha kumfananisha Nyerere na vitu vya hovyo hovyo.Rais Samia ni zaidi hata ya Nyerere
Wakati unaongea, kazi iendeleeAcha kumfananisha Nyerere na vitu vya hovyo hovyo.
Acha upuuzi wako...Mwalimu Nyerere katika safari zake zote nchi za nje akiwa Rais hakuwahi kupokelewa na katibu kata.Rais Samia ni zaidi hata ya Nyerere
Daah, Katibu Kata, Rais Samia yuko kwenye 100 bora za dunia,Acha upuuzi wako...Mwalimu Nyerere katika safari zake zote nchi za nje akiwa Rais hakuwahi kupokelewa na katibu kata.
Heshima ya Tanzania imerudi kwa kasi,...wakati wa awamu ya 5 heshima ya Tz kimataifa ilipotea.
..Rais Mugabe wa Zimbabwe alitufananisha na vibaraka tulipowatosa wananchi wa Sahara Magharibi na kuwakumbatia Morocco.
Mkuu nitakubali hilo la Sahara magharibi, walau nikiri tu sikumbuki wakati wa Awamu gani Tanzania ilikuwa na Sera ya kutoitambua Sahara magharibi...Taarifa yeyote itazingatiwa....wakati wa awamu ya 5 heshima ya Tz kimataifa ilipotea.
..Rais Mugabe wa Zimbabwe alitufananisha na vibaraka tulipowatosa wananchi wa Sahara Magharibi na kuwakumbatia Morocco.
Rais Samia ni zaidi hata ya Nyerere
ndio yupi huyo?Labda Nyerere wa Kigwagwala
Waooo9oooooooooo!! Umenena vyema na ungekuwa karibu ningekupa kRais Samia ni zaidi hata ya Nyerere
BlasphermyRAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA
====
Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa.
Mhe Kafulila amesema hayo leo kwenye mkutano wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Comrade Chongolo wilayani Maswa kwa ziara ya siku4 mkoani Simiyu.
" Tanzania kihistoria ni Taifa kubwa.sio la kutazama ndani (inwardlooking) au kujitazama lenyewe.
Ni ' Internationalist', limejengwa hivyo tangu zama za Mwl. Nyerere na itaendelea kuwa hivyo, na nilazima kulinda heshima hiyo kizazi hadi kizazi.
Wanaosoma na kufuatilia wanajua, Sisi tulikuwa moja ya mataifa machache kabisa Afrika ambayo iwe Ulaya au Amerika haiwezi kufikiria kufanya jambo lolote kwa Afrika bila kushirikishwa.
Hii ni heshima Mwl. Nyerere aliijenga na Rais Samia anaitafuta, anairejesha, hatupaswi kujidogosha". Alihitimisha Kafulil
View attachment 2246563
ndio yupi huyo?
Hujakosea mkuu 👇RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA
====
Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa.
Mhe Kafulila amesema hayo leo kwenye mkutano wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Comrade Chongolo wilayani Maswa kwa ziara ya siku4 mkoani Simiyu.
" Tanzania kihistoria ni Taifa kubwa.sio la kutazama ndani (inwardlooking) au kujitazama lenyewe.
Ni ' Internationalist', limejengwa hivyo tangu zama za Mwl. Nyerere na itaendelea kuwa hivyo, na nilazima kulinda heshima hiyo kizazi hadi kizazi.
Wanaosoma na kufuatilia wanajua, Sisi tulikuwa moja ya mataifa machache kabisa Afrika ambayo iwe Ulaya au Amerika haiwezi kufikiria kufanya jambo lolote kwa Afrika bila kushirikishwa.
Hii ni heshima Mwl. Nyerere aliijenga na Rais Samia anaitafuta, anairejesha, hatupaswi kujidogosha". Alihitimisha Kafulil
View attachment 2246563
Mama jembe sana aiseHujakosea mkuu 👇