Safari ya kampala ilikua haina jinsi lazima aende,yan aende kwenye utiaji wa saini wa pipeline then kwenye kuapishwa mu7 asiende!na nasikia tarehe 20 may mu7 atakuwepo dar kwenye utiaji saini na total wa kuanza ujenzi wa pipeline,kingine kikubwa kilichinifurahisha kwa safari hii deal la kuuza mazao south sudan,bonge la opportunity ili kwa wajasiriamali wa kibongoUgly...!!! Japo hakuwa na namna ilikuwa lazima aende but it is ugly!!!!
πππππUgly...!!! Japo hakuwa na namna ilikuwa lazima aende but it is ugly!!!!
Ni kama tumepata Vasco da Gama wa kike jamani
Kumbaff sana. Unadhani ulaya nilikwendaje na kuondokaje bila kupanda hiyo ndege?Unaonekana una wivu sana mtu akisafiri hasa kwa ndege...
Nakumbuka huu uzi ulimwita Salma ni rais kabla mods hawajarekebisha.
Safiri nawewe usijichimbie tu huko Ikulyamabambashi ukifukuzwa na fisi tu
PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA
PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA
Tukisema utawala wa Kikwete ni wa kifamilia au tuseme kisultani kama siyo kifalme tunaambiwa tuna wivu na chuki. Je hapa inatumika itifaki gani yarabi?www.jamiiforums.com
Kumbaff sana. Unadhani ulaya nilikwendaje na kuondokaje bila kupanda hiyo ndege?
Mkumbaff we. Unaona ulaya deal sana siyo. Kwa taarifa yako kule tumeishi sana hadi kuacha watoto. Pamoja na kuwa mpuuxxxzi, nimependa picha ya bata akitua uwanja wa ndege.Ulaya uijulie wapi we mfuga FISI
Ulipanda ndege hii nini kwenda kwenu CHATO?
View attachment 1782706
Mkumbaff we. Unaona ulaya deal sana siyo. Kwa taarifa yako kule tumeishi sana hadi kuacha watoto. Pamoja na kuwa mpuuxxxzi, nimependa picha ya bata akitua uwanja wa ndege.